Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Wewe niya yako ni nini hasa kama domo zege chart nae bana au ukiwa unatext kwake mikono nayo ni mizito
 
Sura jalada, je ubinadamu anaona?
 
Kwa iyo picha ndo iliyokuvutia au yeye....umempendaje wakati hamjaonana
Bt sio case mwambie tu.
 
Kabla ya kukupa msaada, tuambie wewe ni wa chama gani. Usije kuwa ni kutoka upinzani.
We nawe huna sera.. upendo wake na chama vinahusiana vp.. acha uchochezi... Hovyooooo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Amakweli u jana nusu ya uwenda wazimu ila ww mwenda wazimu kamili
 


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…