abeidmalik
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 272
- 93
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sura jalada, je ubinadamu anaona?Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Anamaanisha ana domo zege yaani anashindwa kumwambia, anaogopa kumtamkia.... Hajadhihaki.. [emoji2] [emoji1]ACHA DHIHAKA MWANA !
ACHA DHARAU MUNGU KAKUUMBA NA KATUUMBA VYEMAA !
We nawe huna sera.. upendo wake na chama vinahusiana vp.. acha uchochezi... Hovyooooo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Kabla ya kukupa msaada, tuambie wewe ni wa chama gani. Usije kuwa ni kutoka upinzani.
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Haaaaaa