Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Haya mwenzetu unaependwa utakua umeshahisi kua ni wewe!!! Mtongoze basi jamaa!!! Eti yeye domo zegeee [emoji3][emoji3]
 
Umepungukiwa vigezo muhimu sana vya uanaume "UJASIRI" na "KUJIAMINI".
 
kama wewe ni mlemavu wa mdomo pole sana kijana πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…