Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Sijui kamekunywa viroba vya wapi
Kumbe ni Numbisa, acha utani wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni Numbisa, acha utani wako
Numbisa ndo ushadondokewa hivyoWatoto wa siku hizi bana
Umenipa kaumaarufu mtoto
Kua ee kua bana uje uoe wajukuu zangu
HeheheUmemkolezea kabisa na maandishi ili asipate shida ya kusoma eee
Nilishamwambia hawachelewiHahahah halafu ataenda kuandaa thread ya malalamiko
Jamn yaan anataka nipate skendo ya kubemenda,rafiki yako hafai
Nasema hivi Nampenda numbisa hadi wasichana wa home nawaona kichefu chefuKumbe ni Numbisa, acha utani wako
nguvu gani unazozihitaji... ujue mwenzako moyo wangu unakusukuma kwa sasa hausukumi damu tenaUuwii! Ujue sina nguvu
Sijui kapotelea wapi aiseeHehehe
Mapenzi bhana, hivi umeniionea wapi babu jamani
mtoto mzuri ee ntakupa ice cream natengenezaga jukwaa la mapishi halafu uende shule,soma mdogo wangu,maisha yapo tu huko fb wanakudanganya sanaNumbisa acha hivyo mm nakupenda mwenzio nifanyaje ili unielewe
Sio kukuchungulia tuu na kukukula piaYaan katoto kadogo kanataka kunichungulia uwiiii
Nilimuonea huruma yangemlipukiaMtaftie hata ya lugalo bhas ajarbu
Pambana mwanaumeEMMYTA nilisema nikimtaja hapa itakua jam si unamuona alivyo sasa. Daah nimependa SAN DEOL
Numbisa ndo ushadondokewa hivyo
Kakuambia nani kua mimi ninasomamtoto mzuri ee ntakupa ice cream natengenezaga jukwaa la mapishi halafu uende shule,soma mdogo wangu,maisha yapo tu huko fb wanakudanganya sana
Huo ni uchochezi ulotukukaNa bado hapo
Ndio hivyo eti katusumbua wee.Kumbe ni Numbisa, acha utani wako
Ongeza nyama kwa hiyo pointNumbisa acha hivyo mm nakupenda mwenzio nifanyaje ili unielewe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kakuambia nani kua mimi ninasoma