Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ndio hivyo apunguze presha mana kupenda wazee kwataka moyo mana wana vijumba vingi balaaacha tu huyo Babu sijui kampa nn dada angu yaan ananitesea hajui tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo apunguze presha mana kupenda wazee kwataka moyo mana wana vijumba vingi balaaacha tu huyo Babu sijui kampa nn dada angu yaan ananitesea hajui tu
Mdogo wangu we sio wa nchi hii, kunywa halafu utubu bhanahahahahh Dada eb hurumia mbavu zangu na hii ni kwaresma ningejinywea mbili tatu mm nipoteze hizi stress
Nataka nijue kama ni mwanaume au ni mtoto wa kiume, maana sisi wanaume umface muhusika na kuwasilisha hisia zetu.shemela wangu mm jamaan
Heheheacha tu huyo Babu sijui kampa nn dada angu yaan ananitesea hajui tu
Khaaaaaa atakujibu mwenyweNataka nijue kama ni mwanaume au ni mtoto wa kiume, maana sisi wanaume umface muhusika na kuwasilisha hisia zetu.
Shogaangu we ni muuajiNdio hivyo apunguze presha mana kupenda wazee kwataka moyo mana wana vijumba vingi balaa
hahahhahhHehehe
Hata hati ya ndoa hajasaini Ujue Mungu anamuona
kweli dada ninywe tu nikitubu Mungu atanisaneme eenhMdogo wangu we sio wa nchi hii, kunywa halafu utubu bhana
NdioHahaaa ukaamini
Bas usiendelee sasa hiv atabadilika hapaNdio hivyo apunguze presha mana kupenda wazee kwataka moyo mana wana vijumba vingi balaa
Kabisaakweli dada ninywe tu nikitubu Mungu atanisaneme eenh
DaahBas usiendelee sasa hiv atabadilika hapa
Wala sikuuwi shoga angu ndio inavyokuwa.Shogaangu we ni muuaji
Hata na mimi nimeona aisee. Ngoja nnyamazeBas usiendelee sasa hiv atabadilika hapa
sawa Dada lkn acha tu siku ipitie tu sitakunywaKabisaa
Usisahau kutubu lakini, maana itabidi uanze kwaresma yako
Nyamaza ndg utanipotezea dada sasa hiv ataondoka bila kuagaHata na mimi nimeona aisee. Ngaja nnyamaze
Nakupenda Dada angu sitaki kabisa uanze kukosa rahaDaah
Nshanyamaza mumy na sitaki umpoteze mana anakupa mawili matatu ya kiutu uzimaNyamaza ndg utanipotezea dada sasa hiv ataondoka bila kuaga
hahahhh umeona eeenh huyo ndio faraja yangu mwenywe naona kashasepaNshanyamaza mumy na sitaki umpoteze mana anakupa mawili matatu ya kiutu uzima
Babu huenda ana cha ziada si unajua tena kulea kujali ndio wenyewe.hahahhh umeona eeenh huyo ndio faraja yangu mwenywe naona kashasepa
mapenzi ya babu si ya nchi hii sijui anampa nn ndg yangu