Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23]bora usimtangaze maana unaweza kuta ni demu wa mod! hapo ndipo utakapojua BAN haiuzwi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]bora usimtangaze maana unaweza kuta ni demu wa mod! hapo ndipo utakapojua BAN haiuzwi!!
Kimy kimy bhas unaonaHahahaahah
Hahaa kumbe kuna mtu kala mtoso humu
Niipi joohWw dawa yako kidogo tu
Sasa mm nmekuombea maruz tangAcha kuniombea mabaya jooh
Numbisa nimuelewa
Hapana joohSasa mm nmekuombea maruz tang
Mwanzo af kumbe na ww
Unaweka chumvi kweny chakula
Chang
Nime mmisi.Kafanyaje jooh
Nataftaje Kiki Kwa shoga?Punguza povu joh
Tia maji kidogo liishe
BTW. Kiki zimeisha leo zimebaki breki tu, kama utapenda njoo kesho kiki zitakuwepo.
WACHA KUTAKA UMAARUFU KUPITIA POST ZA WATU.
NO KICK AVAILABLE
Nataftaje Kiki Kwa shoga?
Jiue
The theNdio safi kuliko kumpa matumain hewa
Hahahaha kwani joanah amekutosa?Kwani msichana ni numbisa pekee au . Tafuta wengine kila kona nikienda wewe unanikaba nitakupa rafu ujue
Hayaaaa kaz kwako mzeeeHahaaa nitampata na nitapiga kelele kwa furaha hadi mods washiruke
Kwa steyl hiii cjui kamaHalafu wew usiwe ccm
Namuaminia hawez nikataa 7bu hiyoKwa steyl hiii cjui kama
Utaambulia kitu
Unatukana mamba ili hali
Hujavuka mto
Mimi sio mondray dadeki zakoHahahaha kwani joanah amekutosa?
Hahaha nimethibitisha pasi na shaka ww ni Mondray.
Aisee hivi unajua hii ni Jf na si fbHelooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny