Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Punguza povu joh
Tia maji kidogo liishe

BTW. Kiki zimeisha leo zimebaki breki tu, kama utapenda njoo kesho kiki zitakuwepo.
WACHA KUTAKA UMAARUFU KUPITIA POST ZA WATU.
NO KICK AVAILABLE
Nataftaje Kiki Kwa shoga?
 
Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Aisee hivi unajua hii ni Jf na si fb
 
Back
Top Bottom