Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Huko bank ndo nimetoka na wanazihitajiNenda bank ,waweza kusaidiwa
Sehemu niliyojiandikisha nilikua mgeni, sijui ule mtaa unaitwaje na nilienda mara moja tuMh! ulijaziwa hizo taarifa mpaka usizijue..? unahabari haohao nida ukiomba namba yako wanakuuliza hizo taarifa ili wahakiki kama ni wewe sasa inakuwaje tena wewe ukazotafute hizo taarifa ikiwa wao wenyewe walizipatia kwako!!!!!
mbagala, kwa mbikuUlijiandikishia wapi..?
Nafahamu ni mbagala kwa mbiku kujua kata inaitwaje,mtaa unaitwaje ndyo sikumbukiUlijiandikishia wapi..?
Mimi mbona situmii mtandao wa tigo dahTumia app ya mixx by Yas utaweza ona kata ya makazi ya kudumu na kata ulipoandikishwa hiyo Nida
Bank wana ile biometric device inaweka thumb tu wakiingiza na namba taarifa zinakuja.Huko bank ndo nimetoka na wanazihitaji
Hapo chachaa. Ukipata kuulizwa km jina la mama au shule uliosoma kdg itakuwa afadhali. Lkn hayo mambo ya kata inakuwa mtihani hasa km sehemu uloandikisha ulikuwa mgeni. Halafu vijana wa siku hizi kila kitu hamkumbuki. Nyie kila jambo mnachkulia easy tuSehemu niliyojiandikisha nilikua mgeni, sijui ule mtaa unaitwaje na nilienda mara moja tu
Pia namba za cm nilizokua natumia wakati huo sizikumbuki tena
Nenda wilayani ofisi za nida wana info zako hakikisha una supporting documents cheti cha kuzaliwa, vitambulisho vingine kama voter's, bima , vyeti vya shule nkmbagala, kwa mbiku
Hapo sina njia nyingine mkuuMimi mbona situmii mtandao wa tigo dah
Utapata ugumu maana wewe ndo unatakiwa kutoa hizo taarifa ili wazipate kwenye systemSehemu niliyojiandikisha nilikua mgeni, sijui ule mtaa unaitwaje na nilienda mara moja tu
Pia namba za cm nilizokua natumia wakati huo sizikumbuki tena
Ngoja nirud tenaBank wana ile biometric device inaweka thumb tu wakiingiza na namba taarifa zinakuja.
Otherwise inabidi ukumbuke tu hamna namna
Msiwasingizie sio kila mtoa huduma hiyo anahitaji pesa, kuna watu wanahudumia vizuri kabisaaa na anakwambia ni kazi yangu kukuhudumieni wananchiNenda wilayani ofisi za nida wana info zako hakikisha una supporting documents cheti cha kuzaliwa, vitambulisho vingine kama voter's, bima , vyeti vya shule nk
NB mkono mtupu........
Tumia google maps mkuu,Sehemu niliyojiandikisha nilikua mgeni, sijui ule mtaa unaitwaje na nilienda mara moja tu
Pia namba za cm nilizokua natumia wakati huo sizikumbuki tena
kama namba yako ya nida unayo nitakuelekeza kuangalia kata yako!Sehemu niliyojiandikisha nilikua mgeni, sijui ule mtaa unaitwaje na nilienda mara moja tu
Pia namba za cm nilizokua natumia wakati huo sizikumbuki tena