Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Incase of emergencyMsiwasingizie sio kila mtoa huduma hiyo anahitaji pesa, kuna watu wanahudumia vizuri kabisaaa na anakwambia ni kazi yangu kukuhudumieni wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Incase of emergencyMsiwasingizie sio kila mtoa huduma hiyo anahitaji pesa, kuna watu wanahudumia vizuri kabisaaa na anakwambia ni kazi yangu kukuhudumieni wananchi
NIDA watakupatia, nadhani watakupa control namba ulipie kuzipataNenda nida
Tarakimu 3 za mwisho baada ya zile sifuri zinasimama baada ya nini?kama namba yako ya nida unayo nitakuelekeza kuangalia kata yako!
namba nane za awali zinahusu taarifa zako za mwezi mwaka na tarehe ya kuzaliwa, namba tano zinazofuata zinahusu kata yako so kama huijui ziandike hizo namba Google itakuonyesha ni kata ipi!.
andika hivi mfano: "33219 Tanzania postcode location"
kisha search itakuletea ni kata gani huo mfano niliokuonyesha hiyo ni kata ya kawekamo ipo mwanza wilaya ya ilemela.
Nida hawana haja na namba ya simu ww umeandikisha sio sehemu uliozaliwa wakikujua jamhuri inakuweka ndani bila kutoka uliongopea taarifa nakushaur usiendeSehemu niliyojiandikisha nilikua mgeni, sijui ule mtaa unaitwaje na nilienda mara moja tu
Pia namba za cm nilizokua natumia wakati huo sizikumbuki tena
kuanzia yale masifurisifuri na hizo tatu zamwisho sijawahi kujua huwa nizanini...Tarakimu 3 za mwisho baada ya zile sifuri zinasimama baada ya nini?
Jaman kwahyo kwenye makuz ya kudumu ujaze nini ? Fomu ilijazwa office za serikal za mitaa na wao ndo wanakuelekezza,kwahyo makaz yangu kwa wakat huo ningejaza niko iringa wakati nipo mbagala duhNida hawana haja na namba ya simu ww umeandikisha sio sehemu uliozaliwa wakikujua jamhuri inakuweka ndani bila kutoka uliongopea taarifa nakushaur usiende
NGoja nijaribukama namba yako ya nida unayo nitakuelekeza kuangalia kata yako!
namba nane za awali zinahusu taarifa zako za mwezi mwaka na tarehe ya kuzaliwa, namba tano zinazofuata zinahusu kata yako so kama huijui ziandike hizo namba Google itakuonyesha ni kata ipi!.
andika hivi mfano: "33219 Tanzania postcode location"
kisha search itakuletea ni kata gani huo mfano niliokuonyesha hiyo ni kata ya kawekamo ipo mwanza wilaya ya ilemela.
Ubarikiwe sana aiseekama namba yako ya nida unayo nitakuelekeza kuangalia kata yako!
namba nane za awali zinahusu taarifa zako za mwezi mwaka na tarehe ya kuzaliwa, namba tano zinazofuata zinahusu kata yako so kama huijui ziandike hizo namba Google itakuonyesha ni kata ipi!.
andika hivi mfano: "33219 Tanzania postcode location"
kisha search itakuletea ni kata gani huo mfano niliokuonyesha hiyo ni kata ya kawekamo ipo mwanza wilaya ya ilemela.
AhsanteUbarikiwe sana aisee
Kwani hicho kitambulisho hujui kukitumia kusoma hizo code za Kata yako? Baada ya tarehe ya kuzaliwa mfano 20020214.....namba tano (tarakimu 5) zinazofuata ni code za Kata yako. Sasa hizo tarakimu zi-copy ukazibandike kwenye google engine search uandike kwa mfano "postal codes 67225" then iruhusu google ifanye searching. Utapata Kata yako na mtaa ulikojiandikisha ila kizungumkuti ni kwenye hizo taarifa zingine sasa.Nafahamu ni mbagala kwa mbiku kujua kata inaitwaje,mtaa unaitwaje ndyo sikumbuki
Ila ule mtaa unaitwaje
Asante, kumbe tumetoa maelekezo yenye kufanana! Baasii, kazi imeisha ni yeye tu!kama namba yako ya nida unayo nitakuelekeza kuangalia kata yako!
namba nane za awali zinahusu taarifa zako za mwezi mwaka na tarehe ya kuzaliwa, namba tano zinazofuata zinahusu kata yako so kama huijui ziandike hizo namba Google itakuonyesha ni kata ipi!.
andika hivi mfano: "33219 Tanzania postcode location"
kisha search itakuletea ni kata gani huo mfano niliokuonyesha hiyo ni kata ya kawekamo ipo mwanza wilaya ya ilemela.
Ukimwuliza aliyemchakata vizuri anakumbuka mpaka size na kunguni wa hilo ghettoHapo chachaa. Ukipata kuulizwa km jina la mama au shule uliosoma kdg itakuwa afadhali. Lkn hayo mambo ya kata inakuwa mtihani hasa km sehemu uloandikisha ulikuwa mgeni. Halafu vijana wa siku hizi kila kitu hamkumbuki. Nyie kila jambo mnachkulia easy tu
Inatia walakini na inaweza kukuponza pia inawezekanaje usahau taarifa kama hiyo? Unaweza jiletea shida fulani hivi.Hivi inawezekana kizipata taarifa zako ulizozijaza kwenye NIDA?
Mfano ulipozaliwa, Kata, Ulipojiandikisha n.k?
Ni muhimu sana.
NIDA Tanzania
Zinahitajika huko bankNenda bank ,waweza kusaidiwa
Labda ndio anaitafuta hiyo "Briliant future" nimeona kwenye avatar yako unmeandika "Brilliant future is based on forgotten past".Hapo chachaa. Ukipata kuulizwa km jina la mama au shule uliosoma kdg itakuwa afadhali. Lkn hayo mambo ya kata inakuwa mtihani hasa km sehemu uloandikisha ulikuwa mgeni. Halafu vijana wa siku hizi kila kitu hamkumbuki. Nyie kila jambo mnachkulia easy tu
Mkuu juzi nlikuwa najaza taarifa za bank kwa nida hata jina la mwanangu walisema nimekosea huyu sio anataka hizo taarifa amezisahau anajaribu tu Kucross check tu awe na uhakika, nakumbuka hata wakati naingia kwenye mfumo wa TRA nliulizwa maswali yakanitoa knockout, jina la mama nlikosa, mara nliojiandikishia nlikosa na ilikuwa sabasaba temeke, haya mfano umezaliwa kijiji kinaitwa KYENGEGE, kwenye database wameandika Kiengege, unadhani kuandika Kyengege itakubali? Haiwezi kabisa...Mh! ulijaziwa hizo taarifa mpaka usizijue..? unahabari haohao nida ukiomba namba yako wanakuuliza hizo taarifa ili wahakiki kama ni wewe sasa inakuwaje tena wewe ukazitafute hizo taarifa ikiwa wao wenyewe walizipatia kwako!!!!!