Msaada: Je, unaweza kupata nakala ya taarifa zako ulizojaza NIDA?

Msaada: Je, unaweza kupata nakala ya taarifa zako ulizojaza NIDA?

tuna kiherehere tungemuacha ahangaike huyu...🤣
Ni vizuri kuwasaidia wenzio mkuu! Ingawa kenyewe hakawezi kurudi hapa kakasema asanteni jamani nilifanikiwa!😁😁
 
kama namba yako ya nida unayo nitakuelekeza kuangalia kata yako!
namba nane za awali zinahusu taarifa zako za mwezi mwaka na tarehe ya kuzaliwa, namba tano zinazofuata zinahusu kata yako so kama huijui ziandike hizo namba Google itakuonyesha ni kata ipi!.

andika hivi mfano: "33219 Tanzania postcode location"
kisha search itakuletea ni kata gani huo mfano niliokuonyesha hiyo ni kata ya kawekamo ipo mwanza wilaya ya ilemela.
Umemaliza tatizo..genius.
 
Nida hawana haja na namba ya simu ww umeandikisha sio sehemu uliozaliwa wakikujua jamhuri inakuweka ndani bila kutoka uliongopea taarifa nakushaur usiende
Acha kupotosha NIDA unajiandikisha sehemu yeyote ulipo sio lazima ulipozaliwa sio cheti cha kuzaliwa hicho. Na kama huna makazi ya kudumu kusahau details za sehemu ulipojiandikisha ni kawaida sana au namba ya simu uliyokua unatumia kipindi unajiandikisha.
 
Inatia walakini na inaweza kukuponza pia inawezekanaje usahau taarifa kama hiyo? Unaweza jiletea shida fulani hivi.

Kama sehemu uliyopo kuna wale vijana surveyor wa umeme mueleze hiyo ishu yako wana " vimashine vyao" ukitaja tu no ya NIDA kinajijaza paaap taarifa zote mpaka jina la mama yako
Ahsante boss
 
Back
Top Bottom