Msaada jins ya kuisajir dawa yangu ya bawasiri

Msaada jins ya kuisajir dawa yangu ya bawasiri

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
Habarini za muda huu

Najua jamii forum ni forum yenye watu wa nyanja mbali mbali sasa nimekuja hapa kuomba msaada wa namna gan ntasajir dawa yangu ya kutibu bawasir ili nianze kuifanyia PA na kuibrand

Dawa yangu imekua na mafanikio makubwa katika kutibu bawasir imewatibu watu weng waliokata tamaa sasa nataka kuisajil ili itumike hata kwenye hospital maana haijawai kufel hata mara moja dawa ni ya kupaka kwa bawasir zote nje na ndan.
Mawasiliano yangu ni 0712505049 nipo dsm
 
Attachments

  • IMG_17064518535273096.jpg
    IMG_17064518535273096.jpg
    338.6 KB · Views: 22
Wewe ni mfamasia kabisa(mganga/dokta).Nenda baraza la wafamasia au mfamasia aliye jirani akupe muongozo uanzie wapi.
Mimi sijasomea chochote ni ujuz nilioupata kutokana na expiriance ya kuumwa bawasir katika kutafuta tiba nikapona nikaanza kuuzia wagonjwa dawa wakapona so ikawa kaz yangu mwaka wa kumi sasa nafanya hii kaz
 
Habarini za muda huu

Najua jamii forum ni forum yenye watu wa nyanja mbali mbali sasa nimekuja hapa kuomba msaada wa namna gan ntasajir dawa yangu ya kutibu bawasir ili nianze kuifanyia PA na kuibrand

Dawa yangu imekua na mafanikio makubwa katika kutibu bawasir imewatibu watu weng waliokata tamaa sasa nataka kuisajil ili itumike hata kwenye hospital maana haijawai kufel hata mara moja dawa ni ya kupaka kwa bawasir zote nje na ndan.
Mawasiliano yangu ni 0712505049 nipo dsm
Nahitaji pia, ndugu zangu wawili wanasumbuliwa sana na hiyo kitu
 
TMDA ndio waratibu wakuu wa dawa zote ikiwemo Dawa za asili (Herbal medication).

Nenda watakupa utaratibu mzima kuanzia documentation za kuandaa zenye vielelezo (dossier) ikiwemo vipimo vya maabara na manufacturing process, unapochukulia/kuzalisha visababishi vya dawa (Active Pharmaceutical ingredients/API) pia na ukaguzi wa kiwanda unachozalishia kama kinafuata current Good Manufacturing Practices (cGMP).
 
Shukran mkuu mawazo yako yamenipa utatuz wa tatizo langu ubarikiwe
 
Tangazo lako limekaa kitaalamu sana mkuu.
Screenshot_20240908_090254.jpg
 
Kuna mtu kanipigia masaa kadhaa tu yaliyopita akilalama na hilo tatizo andika namba nimtumie, unapatikana wapi?

Nimeona details shukrani
Banana ukonga 0712505049
 
Tangazo lako limekaa kitaalamu sana mkuu.View attachment 3089986
Mkuu ni kwel ndio maana nimeongeza wigo natafuta vyet nijisajil nilipe kodi niwe mganga au mtabibu rasmi naitaji kufanya kaz kwa kufuata sheria si umeona watu wa tiba asil wanavyokanatwa au unataka nikawekwe ndani kwa kifanya kaz bila kibali kaka
 
Back
Top Bottom