Msaada jins ya kuisajir dawa yangu ya bawasiri

Unaanzia kwa mkemia mkuu wa wilaya utalipia kama laki nne kisha utapereka sample ya dawa

Atapima kama ina sumu kisha majibu yakitoka utaitwa

Baada ya hapo dawa yako itasajiliwa utaruhusiwa kuiuza madukani

Ahhh wewe utakuwa tapeli bila shaka maana hiyo picha dawa zipo packed maana yake zinauzwa madukani tauari zilishasajiliwa
 
Nilipo ona umeandika kwamba "unadawa inayo ongeza ukubwa wa pipe"....🤔 kidogo nimepata mashaka mkuu...😑
Lakini nikutakie kila la kheri mkuu, maana hii nchi utawapata tu.... yaani lazima uwakamate...😜
 
Nadhani ungeenda muhimbili wana kitengo cha dawa asili.

Kwa watu wenye bawasiri, dawa ya kwanza ni kuepuka chakula chochote ambacho kitafanya kinyesi kuwa kigumu mfano nyama na mkate.. Maana kinyesi kinapokuwa kigumu husababisha zile veins zilizovimba ambazo ndio bawasiri yenyewe, kuathirika zaidi na hata kupasuka

Kingine ni kuanza kutumia vyakula vyenye nyuzi nyuzi kama mboga za majani, matunda kama papai na parachichi etc.. Ili kuepuka kinyesi kigumu

Kingine tumia mafuta ya mnyonyo ambayo yanauzwa almost 5000 robo litre.. Na kama utapata na ya zeituni changanya.. Na upake eneo lililoathirka

Ukifanya haya yote bawasiri itapungua sana sanaa wakati unasubiria hiyo dawa ya maajabu.

Kwa mtu anaetaka hizo dawa za asili za bawasiri. Nenda kariakoo maeneo ya stand ya gari zinazoelekea tegeta ambapo kuna duka la sandaland.. Kuna maduka mengi ya dawa za asili huwezi kosa
 
Asante kwa muongozo hapana mkuu sio tapel ndio maana nimetoa adrress yangu banana ukonga na namba 0712505049 nimefanya kaz zote niliziandika kwa miaka ming kama huduma na nyingine kama utafit kwenye bawasiri ngiri dawa ni uhakika kwenye kukuza uume ni kama majaribio maana wengine inakubar wengine inakataa bado sijathibitisha kua ni uhakika niwe mkwel hata mtu akija namwambia tu ukwel hii ni kama majaribio lipia nusu maana matokeo wengine wanapata wenhgine hawapat kwenye nguvu za kiume ni uhakika ila ni program ya matunda maji na zoez na majimoto bamia zoez sasa wabongo hawapend kufanya mazoez inakua ngumu somo gumu wao wanataka dawa wanywe wakat ule sio ugonjwa ni mfumo tu wa mwili unashida sehem kikubwa cha kutaka vibal ni polis wananifanya mimi shamba wananikamata na kudai rushwa sanaa na kunitishia kunipeleka mahakaman
 
Nadhani ungeenda muhimbili wana kitengo cha dawa asili.

Kwa watu wenye bawasiri, dawa ya kwanza ni kuepuka chakula chochote ambacho kitafanya kinyesi kuwa kigumu mfano nyama na mkate.. Maana kinyesi kinapokuwa kigumu husababisha zile veins zilizovimba ambazo ndio bawasiri yenyewe, kuathirika zaidi na hata kupasuka

Kingine ni kuanza kutumia vyakula vyenye nyuzi nyuzi kama mboga za majani, matunda kama papai na parachichi etc.. Ili kuepuka kinyesi kigumu

Kingine tumia mafuta ya mnyonyo ambayo yanauzwa almost 5000 robo litre.. Na kama utapata na ya zeituni changanya.. Na upake eneo lililoathirka

Ukifanya haya yote bawasiri itapungua sana sanaa wakati unasubiria hiyo dawa ya maajabu.

Kwa mtu anaetaka hizo dawa za asili za bawasiri. Nenda kariakoo maeneo ya stand ya gari zinazoelekea tegeta ambapo kuna duka la sandaland.. Kuna maduka mengi ya dawa za asili huwezi kosa
Sawa mkuu asante kwa ushaur wako

Ni kwelu chanzo ni hayo uliyosema hata mim ndio yalinisababishia

SHukran kwa ushaur maana kikubwa watu wanateseka acha kabisa maumivu yake kila mwenye uwezo wa kusaidia na anaejua dawa kama wewe afanye hivyo watu wapone
 
Nilipo ona umeandika kwamba "unadawa inayo ongeza ukubwa wa pipe"....🤔 kidogo nimepata mashaka mkuu...😑
Lakini nikutakie kila la kheri mkuu, maana hii nchi utawapata tu.... yaani lazima uwakamate...😜
Dawa hii ya kukuta uume ipo lakin majibu yake sio ya uhakika kwa hiyo ni kama utafit majibu wengine wanapata wengine hawapat hivyo sijataka kuisajil kama bawasir maana bado sijajiridhisha lakin bawasiri natoka kwa kujiamin ni uhakika
 
Sawa mkuu asante kwa ushaur wako

Ni kwelu chanzo ni hayo uliyosema hata mim ndio yalinisababishia

SHukran kwa ushaur maana kikubwa watu wanateseka acha kabisa maumivu yake kila mwenye uwezo wa kusaidia na anaejua dawa kama wewe afanye hivyo watu wapone
Kabisa mkuu 🙏🏽🙏🏽
 
Dah huyu jamaa noma sana, na kuna wajinga wanaingia king
Hapana mkuu kivip zingatia hitaji langu kaka lazima niwe muwazi nini nia ya kusajir offcoz itakua biashara naitaj pesa kama uliyvosoma kibal laki nne siwez kutoa laki nne alafu nisipate faida
 
Back
Top Bottom