Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
In short google play wamekata pesa kitoka account yangu ya airtel money wakidai kuna program niliudownload playstore ambayo ilikuwa inahitaji malipo ili iweze kufanya kaziMaelezo yako hayako clear sana. Inaonekana hata ulivyo waandikua play store hawajaelewa tatizo lako.
YAliwahi nikuta..niliumia sana ..refund inabid ifanyike ndan ya masaa 24 kama sikosei..zaidi ya hapo hawana msaada! Pole...ukiacha hela tena next month wanakata..la kufanya idisiableIn short google play wamekata pesa kitoka account yangu ya airtel money wakidai kuna program niliudownload playstore ambayo ilikuwa inahitaji malipo ili iweze kufanya kazi
Sasa nataka nirudishiwe malipo yaliyofanyika bila idhini yangu
hii ndiyo sababu kwanini kwenye digital wallets natumia virtual debit cardIn short google play wamekata pesa kitoka account yangu ya airtel money wakidai kuna program niliudownload playstore ambayo ilikuwa inahitaji malipo ili iweze kufanya kazi
Sasa nataka nirudishiwe malipo yaliyofanyika bila idhini yangu
Imeniumiza sana hii kitu......japo google play wameniambia wanafanyia ombi langu la REFUND ila bado siwaamini sanaYAliwahi nikuta..niliumia sana ..refund inabid ifanyike ndan ya masaa 24 kama sikosei..zaidi ya hapo hawana msaada! Pole...ukiacha hela tena next month wanakata..la kufanya idisiable
Inakera sanahii ndiyo sababu kwanini kwenye digital wallets natumia virtual debit card
nikimaliza lipa, naua card natengeneza nyingine chap, kukwepa ujinga ujinga kama huu
Yamepita masaa mangapiImeniumiza sana hii kitu......japo google play wameniambia wanafanyia ombi langu la REFUND ila bado siwaamini sana
Masaa 7 maana transaction imefanyika saa 11:20 usiku wa kuamkia leoYamepita masaa mangapi
PainfulHiyo hela haiwezi kurudi mkuu,hapo zuia iyo huduma ili usiendelee kuingiliwa
WAsiliana nao...wanaweza irreverse...poleMasaa 7 maana transaction imefanyika saa 11:20 usiku wa kuamkia leo
Jitahidi kuwaandikia kila baada ya masaa mawili Ingekuwa Vodacom ungepata mapema lakini Airtel kama umetumia Card ya mtandao (virtual card) futa kwanza hiyo Card kisha endelea kudai na huwa ni vema zaidi ukiwaandikia kwenye Email yao maana hiyo hufika kwa wahusika ambao wako serious zaidi.Habari wana JamiiForums,
Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua kiasi kikubwa cha fedha.
Niliwasiliana na networ provider yangu nikaambiwa niwasiliane na google play kupitia google play refund ili niweze kurudishiwa pesa zangu lakini bado sijapata mrejesho maana wanadai pesa inaweza kurudishwa ukitoa sabau mapema urudishiwe.
Naomba msaada njia nyingine ya ku REFUND pesa ili iweze kunirudia.
Nashangaa wanaomwambia itarud wakat mtu yuko kweny subscription [emoji23]Hiyo hela haiwezi kurudi mkuu,hapo zuia iyo huduma ili usiendelee kuingiliwa
Inabidi uwe ni mwenye kumbukumbu... Mfano mimi niliwahi jiunga trial version ya LinkedIn premium nikasahau mwezi ulipoisha wakapita na almost 90$ kwenye akaunti yangu. Inabidi ukumbuke kabla ya usitisheYAliwahi nikuta..niliumia sana ..refund inabid ifanyike ndan ya masaa 24 kama sikosei..zaidi ya hapo hawana msaada! Pole...ukiacha hela tena next month wanakata..la kufanya idisiable
Mkuu mimi siku subscribe ili nipate hiyo huduma nashangaa kuwa connected na huduma ambayo sina mpango nayo maana ningeinunua nisingeomba msaada.Labda kama app husika ilifanya subscription hapo sawaHapo haustahili refund mkuu,umejiunga na huduma,umepewa huduma,unaweza zuia tu mwez ujao yasitokee hayo kwa ku cancel hyo service,au ua hyo card tengeneza mpya
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Yes huend ww huku subscribe kwa kujua au kutokujua,fact ni kwamba tayari uko kweny subscription, Hapo ww chakufanya ua hiyo card,lakin refund hutopata,alafu airtel hawausiki na refund hapo,,ww kubali tu hyo imeenda mku,chakufanya ndo kama nilivyo kwambia juu pale.Mkuu mimi siku subscribe ili nipate hiyo huduma nashangaa kuwa connected na huduma ambayo sina mpango nayo maana ningeinunua nisingeomba msaada.Labda kama app husika ilifanya subscription hapo sawa