Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
Google play wanatoaga refund wasikutishe sana usikate tamaa hasa kama hauna tabia ya kuomba refund mara kwa mara.
Lakini pia haiwezekani ukakatwa fedha bila kujiunga na huduma, ingia Play Store bonyeza picha yako kulia kisha ingia Payments & Subscriptions, humo utaona subscription zako na unaweza kucancel.