Msaada jinsi ya ku Refund Pesa zirudi kwenye account yangu

Google play wanatoaga refund wasikutishe sana usikate tamaa hasa kama hauna tabia ya kuomba refund mara kwa mara.

Lakini pia haiwezekani ukakatwa fedha bila kujiunga na huduma, ingia Play Store bonyeza picha yako kulia kisha ingia Payments & Subscriptions, humo utaona subscription zako na unaweza kucancel.
 
Hujambo,
Tumerejesha kiasi cha pesa cha TSh 71,000.00 kutokana na ununuzi wa Whats Deleted Premium (Recover Deleted Messages WAM), Kitambulisho cha Muamala GPA.3394-3018-0869-86297..0. Kiasi hicho kitarejeshwa kupitia njia ya kulipa uliyotumia kufanya ununuzi.
Vidokezo:
  • Iwapo ulilipa kwa kutumia kuponi katika duka la rejareja lililo karibu, mchakato wa kurejeshewa pesa unaweza ukafanyika kwenye salio lako la Google Play.
  • Huenda ukapoteza uwezo wa kufikia bidhaa uliyonunua.
Tutakurejeshea pesa iwapo tulishatoza njia yako ya kulipa. Muda unaopita kabla ya pesa zilizorudishwa kuonekana na mahali ambapo pesa zitarejeshwa, unategemea njia ya kulipa uliyotumia. Unaweza kuona jinsi ulivyofanya malipo na hali ya ombi la kurejeshewa pesa kwenye wasifu wako wa Google Pay. Iwapo njia yako ya kulipa bado haijatozwa, hatutakutoza kwa ajili ya agizo hili.
Iwapo unahitaji usaidizi kuhusu jinsi ya kuwasha au kutumia bidhaa ambayo umenunua, tunakushauri uwasiliane na msanidi wa programu moja kwa moja ili upate majibu haraka. Unaweza kupata maelezo ya mawasiliano ya wasanidi programu kwenye ukurasa wa programu katika Duka la Google Play chini ya sehemu ya "Msanidi Programu" au kwenye stakabadhi yako ya agizo la ununuzi.
Ili uzuie kufanya ununuzi kimakosa au ununuzi usiohitajika wakati ujao, tunapendekeza uwashe uthibitishaji, uangalie mipangilio yako ya uthibitishaji au ubadilishe nenosiri lako.
Iwapo una maswali zaidi kuhusu Google Play, nenda kwenye Kituo chetu cha Usaidizi

Msaada wakuu GOOGLE PLAY WAMENITUMIA MESSAGE YA KURUDISHA PESA JAPO BADO SIJAIONA KWENYE ACCOUNT YANGU
 
Huwa inachukua muda huenda saa 24 hadi 72 fanya kusubiri masaa 48 kisha watafute
 
Ngumu sana,

1. Sidhanikama kuna celular network inaweza pokea refund toka kwa supplier, ni mlolongo sana.

2. Lazima uliweka credit card details zako, mpaka pin na kila kitu, na ku authorize, pengine ndo ile michezo mwezi wa kwanza free, tu charge baadae.

3. Lazima umelopia Huduma ambayo umeipata, umetumia, haujaibiwa na mtu, ni service ambayo kama uja eenjoy uta ee njoy baadae.

4. Pia visa au master card, hazichukui ile kutoka kwa mpesa account, huwa yna fund card wakati wa kulipa, sasa kama ulitumia service, uki fund card most of the time ikiwa inazunguka, hela inaliwa.

Tafuta kurudishiwa kama:

  • Kuna over pricing.
  • Haukuwa ni wewe.
  • No service involved.
 
nilifanya kwa njia ya airtel money
 
hapana sikutumia card,halafu mm siku allow malipo.......ilipoisha trial period automatically yenyewe ikakimbilia kwenye namba ya simu ya account ambayo iko registered na email yangu,ikakata pesa kutoka local network provider(airtel)na kukata pesa
 
Zuia hiyo huduma bila hivyo Kila mwezi kama Kuna balance kwenye Airtel money watakata .

Yamenukuta haya na ikipita 24hrs hakuna tena pesa utapata mkuu .
 
NASHUKURUNI WAPENDWA,PESA ZANGU ZANGU ZOTE ZIMERUDI.........MUNGU AWABARIKI KWA USHAURI WENU................NIMEJIFUNZA KITU
 
Zuia hiyo huduma bila hivyo Kila mwezi kama Kuna balance kwenye Airtel money watakata .

Yamenukuta haya na ikipita 24hrs hakuna tena pesa utapata mkuu .
Kuna ulazima kutumia hayo mahuduma
 
hapana sikutumia card,halafu mm siku allow malipo.......ilipoisha trial period automatically yenyewe ikakimbilia kwenye namba ya simu ya account ambayo iko registered na email yangu,ikakata pesa kutoka local network provider(airtel)na kukata pesa
Hii ndo maana ya trial period ikiisha unaingia kwenye paid subscribers so ni wewe ulijiunga. Hakikisha ume unsubscribe kwa kufuata ushauri wangu hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…