Jitahidi kuwaandikia kila baada ya masaa mawili Ingekuwa Vodacom ungepata mapema lakini Airtel kama umetumia Card ya mtandao (virtual card) futa kwanza hiyo Card kisha endelea kudai na huwa ni vema zaidi ukiwaandikia kwenye Email yao maana hiyo hufika kwa wahusika ambao wako serious zaidi.
Ila Customer care wanaralua tu bila mawazo kisha utaipata baada ya wiki ukituma Email unaweza usimalize siku yote kwa yote kama umetumia malipo ya kawaida kama Airtel money basi watafute kila baada ya masaa mawili upate uhakika wa namba ya tatizo lako kushughulikiwa.
Vinginevyo pesa umeikosa....
Ziada ya maarifa fanya kuingia Playstore Click kwenye picha ya Account yako kuona email yako kisha Payment and Subscriptions
Kisha Subscriptions
Angalia Apps ulizo subscriptions ukiona huzielewi elewi zingine futilia mbali kuna apps zikifa zinaibiwa(Hacked) kisha zinavuta hela jambo lililowavuruga watu wengi na wanalikalia kimya..
Utaona tu ujumbe umefanikiwa kulipia **** playstore wanaanza na hela ndogo kisha baadae Booom!
Rakims