Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

Ninachoipendea bangi inanifanya nijiamini hata kwe mazingira nisiyoyaweza we tuendelee kuunguza lizra mi sifikirii kuacha
 
Haya makitu sijui kama yanaachika, katika watoto wa kiume wa familia yetu ni mimi peke yangu sivuti, na sijawahi kuvuta, hao wenzangu wengine kuna wakati wanakuwa kama wehu na bangi zao, tena tukikutana wananikwepa kwenda kuvuta. Huwa naangalia tu!! Ila nimeamini hii kitu ukianza uachi!!
 
Unaweza kuacha lakini si ghafla bali kupunguza taratibu uvutaji na hatimaye unaweza kuacha kabisa. Tatizo lako ni kuwa umeweka imani kuwa ukivuta ndo unaweza kufanya mazuri basi jiambie katika moyo wako kuwa hata bila bangi naweza yaani kuwa positive na kila kitu, ukiijenga hii attitude baada ya muda utakuwa mpole, hardworker n.k bila kuvuta
 

Safi Mkuu,

Hata usivute, Mi nakumbuka siku nilovuta kwa mara ya kwanza, nilikaa zaidi ya masaa manne, nikiji evaluate kimaisha, hatua nilizopiga, Uzembe nilofanya, na mambo kama hayo, basi kuanzia kesho yake, nikaanza kuwa responsible ktk maisha yangu.

Somewhere on the way, ndio nikajikuta naipa credit Bangi, for the change that it made in Me.
 
Canabis, yaani sipatii picha man unavyokuwa weed halafu mshua anachonga mbaya kila ukimcheki Aggggrr! unaona anakuletea majasho tu

Hutojua, Labda Usikie harufu, nikivuta nakuwa na change of Mood. Kwa alienizoea huhisi labda naumwa.
 
mkuu endelea tu maana naona inakusaidia
kama bangi ingekuwa haram isingeota

Asante,

Japo sitaki kukubaliana moja kwa moja na wewe, but Poa. Hii kitu iba negative impact ktk Afya yangu, but inaleta Positive impact ktk Personality yangu, ambacho ni kitu nimekuwa niki hustle sana kukifanyia marekebisho.
 
endelea usiache mkuu kwa maelezo yako inaonekana inakusaidia, na mda s mrefu utapiga hatua kutoka akil tmamu had ukichaa. big upp mkuu
 
Jamani wacha na mm niweke wazi leo mm nisha tumia sana bangi zaid ya miaka 7 ukwel sijawah fanya kitu chochote kibaya naijua vizuri bangi ila nashkuru mungu now ni mwezi wa.6 nimeacha na siitamani kwakwel niliamua tu

ila kwa sasa nimehamia kwenye sigara najitahid sana kuacha ila dah zaid yakupumzka wiki mbili natafta tiba juu ya hili....msaada plz
 
Stage uliyofikia...endelea tu...mpaka kuja kupost kwenye jukwaa la elimu!!..hiyo ni point of no return...

Tyta umepoteza energy kubwa kuandika maelezo yote haya ungetupia kapicha tu!
 
Last edited by a moderator:
1.Kale ka muda unakotumiaja kuvuta hiyo kitu
kabadilishe ukatumie katika michezo.
2.Tafuta jiko/mke ambaye hapendi hiyo kitu,
anaweza kukushawishi kwa namna moja au nyingine
kuacha.
3.Punguza rafiki zako wavutaji na ikiwezekana
achana nao kabisa.
4.Nenda kajiendeleze katika masomo,kwani hii
inaweza kukupunguzia tabia za kimazingira.
5.Usipende kuifanya hiyo kitu ndio kila kitu
katika/kuwa u/timamu katika mambo yako.
6.Ondoa dhana ya starehe ili ikamilike ni lazima
uvute hiyo kitu.
7.Kama ulikuwa hausali/kwenda kwenye nyumba za/ya ibada
ni vyema sasa ukaanza kufanya hivyo na kushiriki kila kitu
kinachohusu ushikishwaji mfano; kuimba kwaya,utumiakiaji n.k
8.Waambie rafiki zako,ndugu zako na jamaa wa karibu kuwa
umeacha kuvuta bhangi.
9.Jiulize ulianzaje na ulifanya hivyo kwa sababu gani hasa ya
muhimu,je kwa sasa kuna umuhimu wowote wa kuendelea nayo
na kama sivyo tumia mbinu ile ile kuanza kuacha taratibu.

Njia zipo nyingi karibia 90 za kuacha kutumia dawa za kulevya
ingawa nyingine ni ghali sana kuzitumia.
 
we vitu tu zitakusaidia sana kwenye maisha yako.
 

uandishi wako ni dhaifu kila kona mkato hata pasipohitajika na maneno mengine hayaelewek. Vip ukiandika ukiwa hujavuta inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…