GANJA ROLLER
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 709
- 273
Ninachoipendea bangi inanifanya nijiamini hata kwe mazingira nisiyoyaweza we tuendelee kuunguza lizra mi sifikirii kuacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya makitu sijui kama yanaachika, katika watoto wa kiume wa familia yetu ni mimi peke yangu sivuti, na sijawahi kuvuta, hao wenzangu wengine kuna wakati wanakuwa kama wehu na bangi zao, tena tukikutana wananikwepa kwenda kuvuta. Huwa naangalia tu!! Ila nimeamini hii kitu ukianza uachi!!
...hilo sijui ni jini gani,bado silielewielewi....
Na leo umevuta??
Canabis, yaani sipatii picha man unavyokuwa weed halafu mshua anachonga mbaya kila ukimcheki Aggggrr! unaona anakuletea majasho tu
mkuu endelea tu maana naona inakusaidia
kama bangi ingekuwa haram isingeota
Keep on smocking
Stage uliyofikia...endelea tu...mpaka kuja kupost kwenye jukwaa la elimu!!..hiyo ni point of no return...
Canabis, yaani sipatii picha man unavyokuwa weed halafu mshua anachonga mbaya kila ukimcheki Aggggrr! unaona anakuletea majasho tu
Ikiwa nikiivuta nakuwa katika Mood ambayo mimi deeply in My Heart ndio Mood nayoitaka kuwa/kuishi?
Mimi ni Muongeaji sana, mapepe sana, sio msikilizaji mzuri, mathali mara kadhaa nimekuwa nikikatiza watu nao zungumza nao, japo huwa najistukia, but tayar nakuwa kidogo nishakatisha mazungumzo, wakati mwingine naona hasira ya mzungumzaji, hasa pale baba anapobiambia "Heebu Nisikilize kwanzaaa", hapo nami najistukia, na kuanza kujilaumu, anyway nachotaka sema ni hiki, napokuwa nimevuta Bangi, basi nakuwa Mpole, sina maneno mengi, nakuwa settled, i think well wala sioni Uvivu kuwa in deep thoughts, mara nyingi, kama sio zote hata threads nazoandika kuhusu maisha yangu, mawazo yangu huyapanga vyema napokuwa "high" kama sasa, japo hakuna hata neno moha naloweka La uwongo about me, japo wapo wanao ni doubt.
Anywayz, Bangi hunipa Nguvu ya kufanya kazi ngumu, ambayo ktk hali ya kawaida ningeteseka sana mpaka kuimaliza, I never Panic when am high, i never Fight, i talk well, slow, i listen, i think before replying, yaani, i alway become that Person i alwayz want to be in Personality Manner, Sasa najiuliza how can i stop it?
When am high, am Cool, Calm, Gentle, Thinker, Decider, i act Upon what i Plan when am high, and when am high at time of implementing that Plan,
I remember one day nikiwa pale napokaaga siku zote napotaka kuvuta, nikiwa katkati ya nachofanya, Likaja wazo la Mshahara wangu kuwa mdogo kulingana na kazi kubwa nayofanya, hapa ni kwa namna nilivyojivalue, basi nikafikia azimia la kumface boss wangu Mdosi, keaho yake as well asubuh kabla sijatoka Room, nikastua, and Ghafla nikapata stregth, nikajikuta naongeza kuwa, sintofanya kazi wala kuripoti on my duty station mpaka kwanza nimeongea na Boss, wangu, na kweli nilipofika, nilimsubiri, alipoingia nikamfuata, nikamwambia, "Sir! May i please speak with about something, aliniuliza what was it about, nikamwambia My Salary Sir, hapo alikuwa amekaa kwenyw kiti chake, akazungumza kwa kihindi, akisema na secretary wake, kidogo yule dada akainuka jikabaki na Boss, japo Machozi kama yalitaka kutoka, nilijikaza nikamweleza kuwa sijafurahishwa na kiasi cha mshahara nacholipwa ukilinganisha na nafasi ya kazi, pamoja na dhanama ya ofisi nayoipewa, nikamtajia kiasi nachoa amini ni fair mimi kulipwa kulingana na kazi yangu, na Ujumla wa mali nao utunza in terms of both Value n Quantity, na kweli baada ya week mbili nilipewa barua ya kuongezewa Mshahara.
Ilinipa Ujasiri ambao nautaka siku zote, lakini naupara when and Only when am "High"......
Ni habari ndefu kidogo, but just imagine, najiuliza hapa sasa hivi, how can i stop it? And again how can i be the Man i wanna be intermz of my Personality, as i always be when Am High?
Ama nisiache?
Was just Thinking........!!!!! Mmmmmh.