Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

inaonekana ww ni.mgeni.sana kwenye maswala ya digital ina maana hujui watu wakichat nowadays leta X ina beba meaning ya leta S??????? usiwe una crash bila kuuliza hivi ni vitu vya kawaida sana usitake kukuza mada

hayo matumizi ya x badala ya s yapeleke huko fb nasio huku jf.....ushauri wangu unaanzia hapa
 
ni nyumba maalum zilizowekwa kuwasaidia watu kuwacha kutumia madawa ya kulevya...wao wana utaratibu mzuuri sana..
 
Jamani mimi ninahitaji ushauri wa mambo mbalimbali katika maisha ila sihitaji ushauri kutoka kwa vijana wadogo nataka watu wazima umri miaka 25 and above ndio.

Wanishauri na sio wanaume nataka kina dada na kina mama wao ndio wana ushaurI mzurI na ndio ninaouitaji coz ushauri wa wanaume ndio umenifanya niombe ushauri kwa kina dada na kina mama baada ya kunipoteza nina mambo mawili tu ambayo ndio nataka mnishauri 1.


USHAURI WOTE NITUMIE KWA TXT AU CALL 0656879668 kina dada na kina mama tu.


Point ya msisitizo ya huyu dogo ni kutaka akina dada na mama ndio wamcontact kumpa ushauri tu. Hayo mengine hapo hayana tija sana, ni kupoteza maboya.

Sasa dogo wewe ni wa kiume ila unataka siri ya mafanikio kutoka kwa wanawake. Hehehe dogo, utaweza kweli? Wenzio wanafanikiwa kwa njia nyingi sana, uko tayari kukubaliana nazo nawewe uige ili ufanikiwe?
 
Mimi ni mwanaume, ila ningekushauri uendelee kuwauliza wanaume tu, maana wanawake sio wengi wavutaji. Au uwe specific kwamba wanawake wanaovuta au waliovuta wakaacha ndio wakusaidie.

Mkuu naona umeweka namba (umetega) upigiwe na wanawake wanaopenda wavuta bangi; kila la kheri mkuu.
 
Ikiwa nikiivuta nakuwa katika Mood ambayo mimi deeply in My Heart ndio Mood nayoitaka kuwa/kuishi?

Mimi ni Muongeaji sana, mapepe sana, sio msikilizaji mzuri, mathali mara kadhaa nimekuwa nikikatiza watu nao zungumza nao, japo huwa najistukia, but tayar nakuwa kidogo nishakatisha mazungumzo, wakati mwingine naona hasira ya mzungumzaji, hasa pale baba anapobiambia "Heebu Nisikilize kwanzaaa", hapo nami najistukia, na kuanza kujilaumu, anyway nachotaka sema ni hiki, napokuwa nimevuta Bangi, basi nakuwa Mpole, sina maneno mengi, nakuwa settled, i think well wala sioni Uvivu kuwa in deep thoughts, mara nyingi, kama sio zote hata threads nazoandika kuhusu maisha yangu, mawazo yangu huyapanga vyema napokuwa "high" kama sasa, japo hakuna hata neno moha naloweka La uwongo about me, japo wapo wanao ni doubt.

Anywayz, Bangi hunipa Nguvu ya kufanya kazi ngumu, ambayo ktk hali ya kawaida ningeteseka sana mpaka kuimaliza, I never Panic when am high, i never Fight, i talk well, slow, i listen, i think before replying, yaani, i alway become that Person i alwayz want to be in Personality Manner, Sasa najiuliza how can i stop it?

When am high, am Cool, Calm, Gentle, Thinker, Decider, i act Upon what i Plan when am high, and when am high at time of implementing that Plan,

I remember one day nikiwa pale napokaaga siku zote napotaka kuvuta, nikiwa katkati ya nachofanya, Likaja wazo la Mshahara wangu kuwa mdogo kulingana na kazi kubwa nayofanya, hapa ni kwa namna nilivyojivalue, basi nikafikia azimia la kumface boss wangu Mdosi, keaho yake as well asubuh kabla sijatoka Room, nikastua, and Ghafla nikapata stregth, nikajikuta naongeza kuwa, sintofanya kazi wala kuripoti on my duty station mpaka kwanza nimeongea na Boss, wangu, na kweli nilipofika, nilimsubiri, alipoingia nikamfuata, nikamwambia, "Sir! May i please speak with about something, aliniuliza what was it about, nikamwambia My Salary Sir, hapo alikuwa amekaa kwenyw kiti chake, akazungumza kwa kihindi, akisema na secretary wake, kidogo yule dada akainuka jikabaki na Boss, japo Machozi kama yalitaka kutoka, nilijikaza nikamweleza kuwa sijafurahishwa na kiasi cha mshahara nacholipwa ukilinganisha na nafasi ya kazi, pamoja na dhanama ya ofisi nayoipewa, nikamtajia kiasi nachoa amini ni fair mimi kulipwa kulingana na kazi yangu, na Ujumla wa mali nao utunza in terms of both Value n Quantity, na kweli baada ya week mbili nilipewa barua ya kuongezewa Mshahara.

Ilinipa Ujasiri ambao nautaka siku zote, lakini naupara when and Only when am "High"......

Ni habari ndefu kidogo, but just imagine, najiuliza hapa sasa hivi, how can i stop it? And again how can i be the Man i wanna be intermz of my Personality, as i always be when Am High?

Ama nisiache?

Was just Thinking........!!!!! Mmmmmh.
 
How do you put an elephant in a refridgerator?

You open the door and put it in right? How to quit? Just dont smoke.

By the way naona kama inakusaidia. Keep going.
 
Just keep on smokin it coz it haz positive effects to you. Wala usiache mkuu
 
Canabis, yaani sipatii picha man unavyokuwa weed halafu mshua anachonga mbaya kila ukimcheki Aggggrr! unaona anakuletea majasho tu
 

Attachments

  • 10440883_700541263363303_7246746446661118717_n.jpg
    10440883_700541263363303_7246746446661118717_n.jpg
    32.5 KB · Views: 421
Back
Top Bottom