Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Love bite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii comment matata sana hii 😂😂😂😂We usisumbue watu na hilo papuchi lako km sikio la tembo.
Uende kugongwa huko alafu sisi tukupe ushauri.
Mambo ya love bite kwanza yashapitwa na wakati.
Yeah ni kweli...Hii kitu nasikia inaweza kuleta madhara na kusababisha damu kuganda na kuleta hitilafu kwenye ubongo, sina hakikia lakini DR Mambo Jambo View attachment 3061947
😁😁😁 ka nyamwi bhana.Yeah ni kweli...
Ila jikite kwa mada kamin-miii
UZINZI NI KITU KIBAYA ONA MNAVYOUMIZANA YESU AWAPE WOKOVU
Tatizo watu ukiwaambia watakuona Unawanyanyasa...Hii kitu nasikia inaweza kuleta madhara na kusababisha damu kuganda na kuleta hitilafu kwenye ubongo, sina hakikia lakini DR Mambo Jambo View attachment 3061947
Hili Ni Tangazo...
Nilikuwa najiuliza love bite ndio nini bora sasa hivi ujinga umenitoka mtu akiniuliza na weza mpatia hata AB kuhusu love bite thanks very muchHili Ni Tangazo...
Anatakiwa Tu kusema hivi asijizungushe..
"Jamani Jana Nimelala Na Mpenzi wangu kaniachia Hii love Bite"
Sio kwamba unataka Kufuta ...Hilo ni kovu kama makovu mengine..
Tena kovu la kung'atwa...
Nenda Kachome Sindano ya Kuzuia Rabbies
Malaya kwenye 1 m 2Au jinsi ya kuifichaficha isionekane kwa mtu ambaye hajaiweka yeye. Au kufikia Jioni itakuwa imeshafutika yenyewe?
NB:
1. Nasoma comment tu. Nita mquote mtu mwenye positive reply Tena pale inapobidi.
2. Matusi, kejeli, kebehi yanaruhusiwa.
Kazi kwenu.....
Chemsha maji lita mbili , tia limao yakishatokota vizuri jimwagie kwenye eneo lote kuanzia kichwani