Msaada: Jinsi ya kufuta love bite

Msaada: Jinsi ya kufuta love bite

Love bite
20230726_173600.jpg
 
Kutana tena kingono na huyo mtu chukua shahawa zake jipakaze mwili wako hizo sehemu bites zinaondoka fasta ndani ya dakika 30 zinafifia
 
Hii kitu nasikia inaweza kuleta madhara na kusababisha damu kuganda na kuleta hitilafu kwenye ubongo, sina hakikia lakini DR Mambo Jambo View attachment 3061947
Tatizo watu ukiwaambia watakuona Unawanyanyasa...
Wanajigeuza maVampire..
Nashukuru Mungu Utoto huu na Ujana huu Sikupitia..

Wewe Unamng'ata Mwenzio Kipind ambacho hata Akili haiwezi Kujicontrol Vipi UkiHit Jugula au Ukipasua Jugular Vein Si utamsababishia Kifo..?
 
Hili Ni Tangazo...

Anatakiwa Tu kusema hivi asijizungushe..

"Jamani Jana Nimelala Na Mpenzi wangu kaniachia Hii love Bite"

Sio kwamba unataka Kufuta ...Hilo ni kovu kama makovu mengine..
Tena kovu la kung'atwa...
Nenda Kachome Sindano ya Kuzuia Rabbies
Nilikuwa najiuliza love bite ndio nini bora sasa hivi ujinga umenitoka mtu akiniuliza na weza mpatia hata AB kuhusu love bite thanks very much
 
Au jinsi ya kuifichaficha isionekane kwa mtu ambaye hajaiweka yeye. Au kufikia Jioni itakuwa imeshafutika yenyewe?

NB:
1. Nasoma comment tu. Nita mquote mtu mwenye positive reply Tena pale inapobidi.

2. Matusi, kejeli, kebehi yanaruhusiwa.

Kazi kwenu.....
Malaya kwenye 1 m 2
 
Back
Top Bottom