Msaada: Jinsi ya kujizuia kumwaga ndani ili kuzuia mimba

Msaada: Jinsi ya kujizuia kumwaga ndani ili kuzuia mimba

tuelekeze kwa kina
nafikiri ilitokea kama zao la uoga, maana kuna mtu alinasa ikawa kesi kubwa ila nkaimaliza. toka hapo nikawa mwoga wa kumwagia ndani hata iweje labda kama kuna makubaliano.

kondomu nikitumia nayo majanga napiga pampu mpaka inaishiwa mafuta nabadili ila wazungu hakuna.ko n peku na kumwaga nje tu.
 
Utamu ukikolea hata mama anaweza kulia, "Usiitoe naenjoy endelea tu" jamaa anafanya vitu vyake na kama ni siku zile za hatari uwezekano wa mimba more than 90%. Chezeya utamu weye!
Utamu ukinoga hata kutoa hukumbuki kabisa wengine hujojoa humo humo na kuendelea sasa kutoa haina utamu wowote
 
Utamu ukinoga hata kutoa hukumbuki kabisa wengine hujojoa humo humo na kuendelea sasa kutoa haina utamu wowote

We unataka utamu tuu, utamu upo pia kwenye "stroking" sio kwenye kumwaga tuu
 
Mkuu mi mwenzako natafuta njia ya kuacha mchezo huu,yani najkutaga automatically nishachomoa Ata km bnt kanihakikishia anazngatia kalenda,mi huchomoa ivo ivo..

Yan nahs nshaathirika na huu mchezo,nahtaj na Mie nkojolee ndan km wengne ILA nashindwa..dah
 
Sitasahau siku nimekojolea ndani AFU kibaya ni kuwa huyo Dame alikuwa mpangaji na Ana mchumba wake.. Alivoona nimeachia mbegu ndani akachukua kanga akajifuta fasta. Tukaachna siku hiyo nahisi alitoa mimba yangu.. Hio njia ni ngumu kaka kwanza Utamu ule ukimalizia ndani ndo vizuri
 
condom kazi zake ni mbili tu hapa duniani kwanza ni kuzuia mimba pili ni kupulizia maputo, [HASHTAG]#ova[/HASHTAG]
 
Angalia porn utajifunza mengi kule ndo mafundi wahizo mambo ila kwangu withdraw nikaz nyepes mnoooo
Porn are not healthy...don't try that.. They have psychological effects which are negative ones
 
Sitasahau siku nimekojolea ndani AFU kibaya ni kuwa huyo Dame alikuwa mpangaji na Ana mchumba wake.. Alivoona nimeachia mbegu ndani akachukua kanga akajifuta fasta. Tukaachna siku hiyo nahisi alitoa mimba yangu.. Hio njia ni ngumu kaka kwanza Utamu ule ukimalizia ndani ndo vizuri
sawa baba
 
Mimi I play "Jenga" on the first date so that the girl knows my "pullout" game is strong. Napenda kumwaga jizz on hher back or boobies or face.
 
Katika njia ngumu mojawapo ni hiyo. Hiyo njia ukikojolea nje kuna sperms husalia hivyo ukirudi tena zile huanza kutoka kabla wewe hujafeel kukojoa na unapokuja kukojoa tiyari nyingine zinakuwa zimetoka huku zilisubiri x aje aseme karibu mji wa uzazi. Simple kuleta ugomvi ndani ya ndoa maana mwenzio akipata mimba utakataa kumbe ni yako.
 
Napendelea kunywa maji, hivyo baada ya goli la 1 nakwenda toilet kukojoa hakuna sperm inabaki, then naendelea na game kama kawaida kwa mwendo wa withdraw
Hii njia ni nzuri ingawa haushauriwi kurudia mechi wakati huohuo kwasababu baadhi ya mbegu zinakuwa zimebaki kwenye mirija.
 
Back
Top Bottom