Safi sana, kila la heri mkuu. Mi nahisi nitakuwa mtu wa kwanza ku introduce aina hii ya kilimo kwa kule homeJipya. Ntalima mahindi. Ardhi ni virgini land imejaa matamahuluku, yani hata mtoto anailima.
Nitachoma na kupanda.Ni ardhi nzuri sana. Nchi hii ina ardhi nyie!
Kwa mahindi kama ni mbegu ya kisasa ya muda mfupi weka anza kidogo.fanya majaribio. Utapata majibu. Au Onana na wakala wa mbegu zumgumza nae.Wakuu salaam, katika harakati za kutafuta maisha, nimeona niingie shambani.
Swali langu: Inawezekana kwa shamba jipya ukapanda either ufuta au mahindi bila kulima? Yaani ukakata msitu, ukasafisha na kupanda mazao bila kukatua au kuweka matuta? Inawezekana? Na mazao yakakua vizuri tu?
Naombeni muongozo wenu katika hili.
Kwa mahindi kama ni mbegu ya kisasa ya muda mfupi weka anza kidogo.fanya majaribio. Utapata majibu. Au Onana na wakala wa mbegu zumgumza nae.
Pia kukwepa gharama za utaalamu huja na gharama kubwa sana baadae. Ni vyema kufwata utaalamu ili uweze kunufaika na unachokusidia kufan
Nakujibu kulingana na uzoefu wangu kwenye mahindi na kilimo kwa ujumla.Wakuu salaam, katika harakati za kutafuta maisha, nimeona niingie shambani.
Swali langu: Inawezekana kwa shamba jipya ukapanda either ufuta au mahindi bila kulima? Yaani ukakata msitu, ukasafisha na kupanda mazao bila kukatua au kuweka matuta? Inawezekana? Na mazao yakakua vizuri tu?
Naombeni muongozo wenu katika hili.
Asante sana kwa elimu mkuu. So kwa ufuta si inafaa? Au kama nalima hayo mahindi basi inatakiwa niwe nafanya hilling wakati wa paliziNakujibu kulingana na uzoefu wangu kwenye mahindi na kilimo kwa ujumla.
Shamba jipya ardhi yake huwa ni ngumu sana hata mvua ikinyesha ya kutosha bado huwa ni ngumu. Ndo maana shamba jipya kukatua hata kwa trekta ni gharama zaidi kutokana na huo ugumu.
Mahindi yana mizizi mingi inayoenda chini. Shamba likiwa gumu sana hiyo mizizi itakaa juu juu tu. Athari yake ni kwamba mashina yataanguka kwa urahisi, na mizizi ikiwa exposed juu ni rahisi kupata matatizo na mahindi kutokua na afya nzuri.
Wakati wa palizi lazima upandishie. Iwe ufuta au mahindiAsante sana kwa elimu mkuu. So kwa ufuta si inafaa? Au kama nalima hayo mahindi basi inatakiwa niwe nafanya hilling wakati wa palizi
Tupo [emoji16]Huku pia Kuna wakina bwana shamba.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Asante sana mkuuKama zao sio la mizizi unaweza kupanda bila kukatua vizuri tu na ukavuna ila changamoto hutoweza kutumia mashine yyt sababu ya uwepo wa miti na visiki
Kama ni mahindi na ufuta haina shida ila kama ni kina mihogo viazi karanga kukatua ni lazima hapo
Naomb unisaidie na mimi hikoMie mwenyewe nataka nifanye kama wewe mwaka huuu.Nimeshauriwa na wenyeji kuchoma na kokomolea mahindi bila kulima, ila mwaka wa pili kulima lazima na mbolea kidogo.
Kuna kipeperushi cha upandaji wa mahindi na maharage bila kulima ninacho ntakutumia upate uzoefu. Wanaita kilimo cha matandazo, kimeandaliwa na taasisi ya utafiti ya uyole.Ngoje nifukunyue makabeasha.
Apige moto mimea mibichi?Piga moto
Vichaka vibichiApige moto mimea mibichi?
Inategemea na aina ya mimea hii ya juu Haina shidaNadhani hujaelewa mada, issue sio jinsi ya kusafisha shamba; ni je, unaweza kupanda bila kukatua? Au kutibua? Hapo shamba umeshasafisha either kwa moto au kwa namna nyingine. Ila naona waliolewa wametoa miongozo
Humu ni mahali sahihi kabisa:Hapo ulipo hakuna mabwana shamba mpaka uje kuuliza humu?
Mbona watanzania tumekosa akili kiasi hiki mpaka mambo ya msingi katika mustakabali wa maisha yetu tunayaletea mzaha??
Kwani humu hakuna mabwana shamba?Hapo ulipo hakuna mabwana shamba mpaka uje kuuliza humu?
Mbona watanzania tumekosa akili kiasi hiki mpaka mambo ya msingi katika mustakabali wa maisha yetu tunayaletea mzaha
Asante sana mkuu kwa muongozo huo. Nilishakata msitu tayari. Na baada ya kufanya utafiti wa kutosha nimeona nitumie njia hiyo hiyo. So nasubiri mvua tu nikapande mahindi pamoja na mbaazi. Mixed farming.Inategemea uko sehemu gani mkuu! Ila hilo zoezi linawezekana kabisa inaitwa zero au minimum tillage. Nilikuwa sehemu moja huko Tanganyika. Utaratibu wao huwa ni kuondoa msitu wakishapiga moto wanakatia mahindi na kusubiri palizi. Wakati mwingine hata kwenye palizi huwa wanapiga dawa wanasubiri kuvuna tu.
Shukrani sana mkuu! Ila hiyo ya kwako sasa itaitwa intercropping (yaani kuchanganya mazao tofauti kwenye shamba moja) na siyo mixed farming (hili ni zoezi la kuotesha mazao na kufuga mifugo pamoja).Asante sana mkuu kwa muongozo huo. Nilishakata msitu tayari. Na baada ya kufanya utafiti wa kutosha nimeona nitumie njia hiyo hiyo. So nasubiri mvua tu nikapande mahindi pamoja na mbaazi. Mixed farming.
Ahaaa sawa. Asante kwa elimu. Ngoja tuendelee kupambanaShukrani sana mkuu! Ila hiyo ya kwako sasa itaitwa intercropping (yaani kuchanganya mazao tofauti kwenye shamba moja) na siyo mixed farming (hili ni zoezi la kuotesha mazao na kufuga mifugo pamoja).