Msaada: Jinsi ya kulima shamba jipya

Msaada: Jinsi ya kulima shamba jipya

Jipya. Ntalima mahindi. Ardhi ni virgini land imejaa matamahuluku, yani hata mtoto anailima.
Nitachoma na kupanda.Ni ardhi nzuri sana. Nchi hii ina ardhi nyie!
Safi sana, kila la heri mkuu. Mi nahisi nitakuwa mtu wa kwanza ku introduce aina hii ya kilimo kwa kule home
 
Wakuu salaam, katika harakati za kutafuta maisha, nimeona niingie shambani.

Swali langu: Inawezekana kwa shamba jipya ukapanda either ufuta au mahindi bila kulima? Yaani ukakata msitu, ukasafisha na kupanda mazao bila kukatua au kuweka matuta? Inawezekana? Na mazao yakakua vizuri tu?

Naombeni muongozo wenu katika hili.
Kwa mahindi kama ni mbegu ya kisasa ya muda mfupi weka anza kidogo.fanya majaribio. Utapata majibu. Au Onana na wakala wa mbegu zumgumza nae.

Pia kukwepa gharama za utaalamu huja na gharama kubwa sana baadae. Ni vyema kufwata utaalamu ili uweze kunufaika na unachokusidia kufanya
 
Shukran sana mkuu japo sijakuelewa vizuri
Kwa mahindi kama ni mbegu ya kisasa ya muda mfupi weka anza kidogo.fanya majaribio. Utapata majibu. Au Onana na wakala wa mbegu zumgumza nae.

Pia kukwepa gharama za utaalamu huja na gharama kubwa sana baadae. Ni vyema kufwata utaalamu ili uweze kunufaika na unachokusidia kufan
 
Wakuu salaam, katika harakati za kutafuta maisha, nimeona niingie shambani.

Swali langu: Inawezekana kwa shamba jipya ukapanda either ufuta au mahindi bila kulima? Yaani ukakata msitu, ukasafisha na kupanda mazao bila kukatua au kuweka matuta? Inawezekana? Na mazao yakakua vizuri tu?

Naombeni muongozo wenu katika hili.
Nakujibu kulingana na uzoefu wangu kwenye mahindi na kilimo kwa ujumla.

Shamba jipya ardhi yake huwa ni ngumu sana hata mvua ikinyesha ya kutosha bado huwa ni ngumu. Ndo maana shamba jipya kukatua hata kwa trekta ni gharama zaidi kutokana na huo ugumu.

Mahindi yana mizizi mingi inayoenda chini. Shamba likiwa gumu sana hiyo mizizi itakaa juu juu tu. Athari yake ni kwamba mashina yataanguka kwa urahisi, na mizizi ikiwa exposed juu ni rahisi kupata matatizo na mahindi kutokua na afya nzuri.
 
Asante sana kwa elimu mkuu. So kwa ufuta si inafaa? Au kama nalima hayo mahindi basi inatakiwa niwe nafanya hilling wakati wa palizi
 
Kama zao sio la mizizi unaweza kupanda bila kukatua vizuri tu na ukavuna ila changamoto hutoweza kutumia mashine yyt sababu ya uwepo wa miti na visiki

Kama ni mahindi na ufuta haina shida ila kama ni kina mihogo viazi karanga kukatua ni lazima hapo
 
Asante sana mkuu
 
Mie mwenyewe nataka nifanye kama wewe mwaka huuu.Nimeshauriwa na wenyeji kuchoma na kokomolea mahindi bila kulima, ila mwaka wa pili kulima lazima na mbolea kidogo.

Kuna kipeperushi cha upandaji wa mahindi na maharage bila kulima ninacho ntakutumia upate uzoefu. Wanaita kilimo cha matandazo, kimeandaliwa na taasisi ya utafiti ya uyole.Ngoje nifukunyue makabeasha.
Naomb unisaidie na mimi hiko
 
Vichaka vibichi
Nadhani hujaelewa mada, issue sio jinsi ya kusafisha shamba; ni je, unaweza kupanda bila kukatua? Au kutibua? Hapo shamba umeshasafisha either kwa moto au kwa namna nyingine. Ila naona waliolewa wametoa miongozo
 
Inategemea na aina ya mimea hii ya juu Haina shida
 
Hapo ulipo hakuna mabwana shamba mpaka uje kuuliza humu?

Mbona watanzania tumekosa akili kiasi hiki mpaka mambo ya msingi katika mustakabali wa maisha yetu tunayaletea mzaha??
Humu ni mahali sahihi kabisa:
1. Anaweza kukutana na mabwana shamba humu humu

2. Anaweza kuelekezwa pa kuwapatia mabwana shamba

3. Anaweza kukutana na wakulima wenye uzoefu, n.k.

Kwa ufupi, anaweza akapata karibia kila anachokihitaji humu humu.

JF ni kubwa mno.
 
Inategemea uko sehemu gani mkuu! Ila hilo zoezi linawezekana kabisa inaitwa zero au minimum tillage. Nilikuwa sehemu moja huko Tanganyika. Utaratibu wao huwa ni kuondoa msitu wakishapiga moto wanakatia mahindi na kusubiri palizi. Wakati mwingine hata kwenye palizi huwa wanapiga dawa wanasubiri kuvuna tu.
 
Asante sana mkuu kwa muongozo huo. Nilishakata msitu tayari. Na baada ya kufanya utafiti wa kutosha nimeona nitumie njia hiyo hiyo. So nasubiri mvua tu nikapande mahindi pamoja na mbaazi. Mixed farming.
 
Shukrani sana mkuu! Ila hiyo ya kwako sasa itaitwa intercropping (yaani kuchanganya mazao tofauti kwenye shamba moja) na siyo mixed farming (hili ni zoezi la kuotesha mazao na kufuga mifugo pamoja).
 
Ahaaa sawa. Asante kwa elimu. Ngoja tuendelee kupambana
 
Back
Top Bottom