Abie
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 289
- 535
- Thread starter
- #21
Safi sana, kila la heri mkuu. Mi nahisi nitakuwa mtu wa kwanza ku introduce aina hii ya kilimo kwa kule homeJipya. Ntalima mahindi. Ardhi ni virgini land imejaa matamahuluku, yani hata mtoto anailima.
Nitachoma na kupanda.Ni ardhi nzuri sana. Nchi hii ina ardhi nyie!