Ndugu mpendwa mteja majibu yetu yote tunajibu hapo hapo ulipoandika labda kama unaushauri tukusikilizeNimegundua Kitu Sasa
Tanesco Thread Hii Inakwenda Page Nyingine Wakati Mlitakiwa Comment Yenu Ya Kwanza
Kutoa Majibu Mujarabu Na Mambo Yangekuwa Poa
Mnafanya Watu Wanakuwa Na Taharuki Wakati Jibu Mnatakiwa Kutoa Direct Hapa Hapa
Inategemea na aina ya vifaa unavyotumia pamoja na uchakavu wa wiring yako.kama wiring imefanyika zaidi ya miaka mitano iliyopita tafuta mkandarasi aliyesajiliwa akukagulie.Umeme wa elfu kumi haufiki wiki maana yake nini? Nyumba ina taa , tv na kupasi mara chache sana. Tatizo nini?
Karibu tukusikilizeTanesco ni wahuni sana
Admin mpaka sasa uko ofisini au unatembea na akaunti ya shirika mpaka nyumbani kwako?!?!Karibu tukusikilize
Inategemea na aina ya vifaa unavyotumia pamoja na uchakavu wa wiring yako.kama wiring imefanyika zaidi ya miaka mitano iliyopita tafuta mkandarasi aliyesajiliwa akukagulie.
Hata mie nimechoka mpaka menoHii mpya. Mbona tunaingiza kawaida siku zote. Hiyo process yako ya nchi gani?
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu hakika ushirikiano mnaotupatia unatuwezesha kuwahudumia vizuri zaidiTANESCO nawapongeza sana sana, mnastahili pongezi nyingi sana kwa kujiunga JF na kujibu hoja za wateja. Kwa kweli mmnaleta changamoto kwa mashirika na taasisi zingine za umma kufuata mahali walipo wateja wao na kuwahidumia pasipo ubaguzi. Nasema hivi kwasababu baadhi ya taasisi hazitaki mitandao ya kijamii na hasa JF.
Pia nashauri wanajamii kutumia vizuri fursa hii, kwa kuuliza na kutoa michango yenye tija na staha.
Tutajie vifaa ulivyonavyo na matumizi yake ya umeme pamoja na idadi ya watumiajiWiring ni mpya haina zaidi ya miaka miwili. Vifaa sio vingi ndio maana nashangaa
Hivi nyinyi watu mnatatizo Gani Na huku kwetu kibangu mnakata umeme kila siku asubuhi mpaka jioni tena Bila taarifa yoyote kwanini msituambie kama mmeanza mgao wao umeme mbaya zaidi mnakata mpaka usiku Na joto hili la Sasa hivi kuweni Na adabu aseh msitufanye tukawareport kwa magufuliTutajie vifaa ulivyonavyo na matumizi yake ya umeme pamoja na idadi ya watumiaji
MkuuAdmin mpaka sasa uko ofisini au unatembea na akaunti ya shirika mpaka nyumbani kwako?!?!
Tv, desktop computer, pasi, taa kama 10 hivi ambazo ni energy saver. Hivyo tu. Watumiaji 6Tutajie vifaa ulivyonavyo na matumizi yake ya umeme pamoja na idadi ya watumiaji
Wakikujibu unitagTv, desktop computer, pasi, taa kama 10 hivi ambazo ni energy saver. Hivyo tu. Watumiaji 6
Wakikujibu unitag
Tunaomba.namba yako.ya mitaTv, desktop computer, pasi, taa kama 10 hivi ambazo ni energy saver. Hivyo tu. Watumiaji 6
Nami nasubiriNasubiri feedfront au feedback
Usijali
Wamemjibu SasaWakikujibu unitag