Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

Nimegundua Kitu Sasa
Tanesco Thread Hii Inakwenda Page Nyingine Wakati Mlitakiwa Comment Yenu Ya Kwanza
Kutoa Majibu Mujarabu Na Mambo Yangekuwa Poa

Mnafanya Watu Wanakuwa Na Taharuki Wakati Jibu Mnatakiwa Kutoa Direct Hapa Hapa
Ndugu mpendwa mteja majibu yetu yote tunajibu hapo hapo ulipoandika labda kama unaushauri tukusikilize
 
Umeme wa elfu kumi haufiki wiki maana yake nini? Nyumba ina taa , tv na kupasi mara chache sana. Tatizo nini?
Inategemea na aina ya vifaa unavyotumia pamoja na uchakavu wa wiring yako.kama wiring imefanyika zaidi ya miaka mitano iliyopita tafuta mkandarasi aliyesajiliwa akukagulie.
 
Wiring ni mpya haina zaidi ya miaka miwili. Vifaa sio vingi ndio maana nashangaa

TANESCO nawapongeza sana sana, mnastahili pongezi nyingi sana kwa kujiunga JF na kujibu hoja za wateja. Kwa kweli mmnaleta changamoto kwa mashirika na taasisi zingine za umma kufuata mahali walipo wateja wao na kuwahidumia pasipo ubaguzi. Nasema hivi kwasababu baadhi ya taasisi hazitaki mitandao ya kijamii na hasa JF.

Pia nashauri wanajamii kutumia vizuri fursa hii, kwa kuuliza na kutoa michango yenye tija na staha.
 
Kitu kingine sie wateja tunapopewa maelekezo hatufuatilii siku likibuma ndiyo tunaanza kulia, tangu nilipowekewa na kuelekezwa nikauliza maswali yao sasa ni mwaka na nusu mpaka betri za tanesco bado zinafanya kazi
 
TANESCO nawapongeza sana sana, mnastahili pongezi nyingi sana kwa kujiunga JF na kujibu hoja za wateja. Kwa kweli mmnaleta changamoto kwa mashirika na taasisi zingine za umma kufuata mahali walipo wateja wao na kuwahidumia pasipo ubaguzi. Nasema hivi kwasababu baadhi ya taasisi hazitaki mitandao ya kijamii na hasa JF.

Pia nashauri wanajamii kutumia vizuri fursa hii, kwa kuuliza na kutoa michango yenye tija na staha.
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu hakika ushirikiano mnaotupatia unatuwezesha kuwahudumia vizuri zaidi
 
Wiring ni mpya haina zaidi ya miaka miwili. Vifaa sio vingi ndio maana nashangaa
Tutajie vifaa ulivyonavyo na matumizi yake ya umeme pamoja na idadi ya watumiaji
 
Hivi nyinyi watu mnatatizo Gani Na huku kwetu kibangu mnakata umeme kila siku asubuhi mpaka jioni tena Bila taarifa yoyote kwanini msituambie kama mmeanza mgao wao umeme mbaya zaidi mnakata mpaka usiku Na joto hili la Sasa hivi kuweni Na adabu aseh msitufanye tukawareport kwa magufuli
 
Tutajie vifaa ulivyonavyo na matumizi yake ya umeme pamoja na idadi ya watumiaji
Tv, desktop computer, pasi, taa kama 10 hivi ambazo ni energy saver. Hivyo tu. Watumiaji 6
 
Back
Top Bottom