nimependa jinsi mnavyotoa huduma zenu na elimu mnayotupa kupitia kile kipindi chenu cha tv japo kwa sasa sikioni kikioneshwaNdugu mteja.
Baada ya kuangalia matumizi yako inaonyesha kuwa kuanzia mwezi wa 4 mwaka huu matumizi yako yalipanda kutoka wastani wa unit 80 hadi 100 na kuendelea.
Hii inaweza kusabibishwa na mambo yafuatayo.
1. Vifaa vyako vya umeme kuwa chini ya ubora na kusabibabisha kutumia umeme mwingi.
2. Matumizi mabaya ya umeme kama kuwasha taa wakati wa mchana.
3. Kutumia taa na vifaa vingine ambavyo sio energy saver.
4. Wiring yako kuhitaji kukaguliwa. Tanesco tunashauri walau kila baada ya miaka mitano kukaguliwa.View attachment 924682
Kipindi bado kipo kinarushwa TBC1, Itv na Startive muda ule ulenimependa jinsi mnavyotoa huduma zenu na elimu mnayotupa kupitia kile kipindi chenu cha tv japo kwa sasa sikioni kikioneshwa
Hahahah noma sanaAdmin mpaka sasa uko ofisini au unatembea na akaunti ya shirika mpaka nyumbani kwako?!?!
Mi nina swali nimeunganisha umeme mi ni mteja mpya na nimepewa unit kumi tu. Nimeambiwa nikitaka kununua umeme kwa mara ya kwanza ni lazima nianzie tanesco ili kujisajili Je kiwango cha chini kununua ni sh ngapi??Ndugu mteja.
Baada ya kuangalia matumizi yako inaonyesha kuwa kuanzia mwezi wa 4 mwaka huu matumizi yako yalipanda kutoka wastani wa unit 80 hadi 100 na kuendelea.
Hii inaweza kusabibishwa na mambo yafuatayo.
1. Vifaa vyako vya umeme kuwa chini ya ubora na kusabibabisha kutumia umeme mwingi.
2. Matumizi mabaya ya umeme kama kuwasha taa wakati wa mchana.
3. Kutumia taa na vifaa vingine ambavyo sio energy saver.
4. Wiring yako kuhitaji kukaguliwa. Tanesco tunashauri walau kila baada ya miaka mitano kukaguliwa.View attachment 924682
Asante ndugu mteja.Mi nina swali nimeunganisha umeme mi ni mteja mpya na nimepewa unit kumi tu. Nimeambiwa nikitaka kununua umeme kwa mara ya kwanza ni lazima nianzie tanesco ili kujisajili Je kiwango cha chini kununua ni sh ngapi??
Hivi maeneo ya Kimara baruti kuna tatizo gani mbona umeme unaweza kukatika hata Mara 3-5 kwa siku au hatupati kabisa mpaka usiku wa manane? huku bondeni ukivuka eneo lile la wazi lakupitishia umeme .yani utadhani tunaishi vijijini,tena bora vijijini wanapata umeme wa REA kwao ni afadhali. Hili shirika sometimes ni shida yani umeme ukija watoto wanapiga kelele "huoooo"Asante ndugu mteja.
Kununua mara kwanza unanunua ofisi ya Tanesco iliopo karibu na wewe. Kwq mara ya kwanza unatakiwa kulipia kiasi kuanzia shilingi 18,000 kwa sababu unapofungiwa umeme unakuja na unit 50.
Ingawa kuna baadhi ya mita zinakuja na unit 10 hivyo basi baada ya kununua umeme ofisi ya Tanesco utatakiwa kufika pia ofisi ya Mhasibu kwa ajili ya kupatiwa unit zako ambazo umelipia (unit 40).
Ndugu mteja kumbuka huduma hio yote hapo juu ni BUREEEE!! hakuna gharama ya usajili wa mita
Eneo gani haswa na namba yako ya simu mpendwa mteja wetuHivi maeneo ya Kimara baruti kuna tatizo gani mbona umeme unaweza kukatika hata Mara 3-5 kwa siku au hatupati kabisa mpaka usiku wa manane? huku bondeni ukivuka eneo lile la wazi lakupitishia umeme .yani utadhani tunaishi vijijini,tena bora vijijini wanapata umeme wa REA kwao ni afadhali. Hili shirika sometimes ni shida yani umeme ukija watoto wanapiga kelele "huoooo"
Asante ngoja nikadai unit 40 zangu mapema.Asante ndugu mteja.
Kununua mara kwanza unanunua ofisi ya Tanesco iliopo karibu na wewe. Kwq mara ya kwanza unatakiwa kulipia kiasi kuanzia shilingi 18,000 kwa sababu unapofungiwa umeme unakuja na unit 50.
Ingawa kuna baadhi ya mita zinakuja na unit 10 hivyo basi baada ya kununua umeme ofisi ya Tanesco utatakiwa kufika pia ofisi ya Mhasibu kwa ajili ya kupatiwa unit zako ambazo umelipia (unit 40).
Ndugu mteja kumbuka huduma hio yote hapo juu ni BUREEEE!! hakuna gharama ya usajili wa mita
EneoAsante ngoja nikadai unit 40 zangu mapema.
#DG
Mpaka Nikishanunua huo wa elfu 18000 au hata sa hivi naweza kupa hizo details?Eneo
Namba ya mita
Namba ya simu
Na wilaya yako
Kama.umeshanunua tupatie taarifa hizo
Ukishanunua mpendwa.mteja.wetuMpaka Nikishanunua huo wa elfu 18000 au hata sa hivi naweza kupa hizo details?
#DG
kwanini wateja wengi wenye matumizi madogo wapo kwenye huduma ya tarifu T1...na hakuna utaratibu wowote wa kuwasaidia ili waepukane na gharama zisizo maana....sasa mnampango gani...?Ukishanunua mpendwa.mteja.wetu
Wateja wote wanawekwa kwenye makundi yanayoendana na matumizi yao hivyo tunazingatia matumizi ya mteja husikakwanini wateja wengi wenye matumizi madogo wapo kwenye huduma ya tarifu T1...na hakuna utaratibu wowote wa kuwasaidia ili waepukane na gharama zisizo maana....sasa mnampango gani...?
nina nyumba ndogo tano...mikoa tofauti zote nilikuwa kwenye T1 ... Na kwa uchunguzi mdogo nilioufanya watanzania wengi matumizi yetu ya umeme ni madogo na wengi hawajui taratibu za kuomba kubadilishiwa kwenda taarif nyingine...wekeni wazi huduma zenu sisi ndio maboss mpo kwenye nafasi zenu mlizopo kwaajiri ya kutuwakilisha tu...kumbukeni kuwa kodi zetu ndizo zinazoliendesha shirika...Wateja wote wanawekwa kwenye makundi yanayoendana na matumizi yao hivyo tunazingatia matumizi ya mteja husika
Ukipitia thread hii utaona elimu zote tumeweka aitha mfumo wetu unaona.kila.mita nchini na kuiweka kwenye kundi sahihi.wateja wengi wapo T1ambalo ni kundi la matumizi ya kawaida ya nyumbani hivyo hilo sio tatizonina nyumba ndogo tano...mikoa tofauti zote nilikuwa kwenye T1 ... Na kwa uchunguzi mdogo nilioufanya watanzania wengi matumizi yetu ya umeme ni madogo na wengi hawajui taratibu za kuomba kubadilishiwa kwenda taarif nyingine...wekeni wazi huduma zenu sisi ndio maboss mpo kwenye nafasi zenu mlizopo kwaajiri ya kutuwakilisha tu...kumbukeni kuwa kodi zetu ndizo zinazoliendesha shirika...
mzee kumbuka mimi ni boss wako....unapo zungumza na boss hakikisha unakuwa mnyenyekevu japo kidogo...tariifu zipo 4 ama tano lakini d1 na t1 ndio za majumbani...kinacho nikera ni nyie kujidai kuwa system inachagua...ila ni uongo watanzania mnatuibia robo tatu ya watanzia wanapaswa kuwa D1 ila system ya hovyo inawaweka T1...kumbuka msemo ule wa kizungi NO RESEACH NO RIGHT TO SPEAK...ninacho kiongea nimekifanyia uchunguziUkipitia thread hii utaona elimu zote tumeweka aitha mfumo wetu unaona.kila.mita nchini na kuiweka kwenye kundi sahihi.wateja wengi wapo T1ambalo ni kundi la matumizi ya kawaida ya nyumbani hivyo hilo sio tatizo
Tunaomba namba yako ya mita unayodai ipo tarif isiyosahihi tukujibu kwa datamzee kumbuka mimi ni boss wako....unapo zungumza na boss hakikisha unakuwa mnyenyekevu japo kidogo...tariifu zipo 4 ama tano lakini d1 na t1 ndio za majumbani...kinacho nikera ni nyie kujidai kuwa system inachagua...ila ni uongo watanzania mnatuibia robo tatu ya watanzia wanapaswa kuwa D1 ila system ya hovyo inawaweka T1...kumbuka msemo ule wa kizungi NO RESEACH NO RIGHT TO SPEAK...ninacho kiongea nimekifanyia uchunguzi