dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
wala usiangaike mkuu , ile tariff ya D1 ilikua karibu mteja, ni kama bonus ivi, wanaku time ujichanganye upande daraja, na ukishapanda sahau kurudishwa, periodNaomba kurudishwa kwenye mteja wa kawaida wa chini ya unit 72 kwani matumizi yangu kwa sasa hayazidi hizo unit. Namba yangu 54150367891 #TANESCO
Naomba kurudishwa kwenye mteja wa kawaida wa chini ya unit 72 kwani matumizi yangu kwa sasa hayazidi hizo unit. Namba yangu 54150367891 #TANESCO
habari mimi nina swali bibi yangu ana miaka 82 ameachiwa nyumba na mumewake aliishafariki sasa luku yake ambayo inajina ya mumewe inadeni kama laki saba yeye anasema anataka apewe msamaha kama upo au anunue luku nyingine mpya kwa jina lake maana garama itakuwa ni ndogo je inawezekanatafadhali wasiliana na ofisi ya TANESCO iliopo karibu na wewe au piga namba 0768985100 kwa msaada zaidi
habari mimi nina swali bibi yangu ana miaka 82 ameachiwa nyumba na mumewake aliishafariki sasa luku yake ambayo inajina ya mumewe inadeni kama laki saba yeye anasema anataka apewe msamaha kama upo au anunue luku nyingine mpya kwa jina lake maana garama itakuwa ni ndogo je inawezekana
Nyumba tunaeka umeme wa alfu 75 tuna friji na pasi na tv haumalizi mwezi tatizo nnNdugu mpendwa mteja haiwezekani kiweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani lakini unaweza kuweka kupitia kwa jirani kwa kwenda na CIU au remote ya nyumba yako
Ndugu mteja apo tatizo ni matumizi yako, vifaa ambavyo unavyo bila kusaau umeshafanya ukaguzi wa mtandao wako wa umeme (wiring)?Nyumba tunaeka umeme wa alfu 75 tuna friji na pasi na tv haumalizi mwezi tatizo nn
Sijafanya ukaguziNdugu mteja apo tatizo ni matumizi yako, vifaa ambavyo unavyo bila kusaau umeshafanya ukaguzi wa mtandao wako wa umeme (wiring)?
Fanya huo ukaguziSijafanya ukaguzi
Fanya huo ukaguzi
tafadhali wasiliana na ofisi ya TANESCO iliopo karibu na wewe au piga namba 0768985100 kwa msaada zaidi
Uhuni wa nini mkuu..?Tanesco ni wahuni sana
Fundi yeyote au hadi mafundi wenu
Hiv ndugu tanesco hakuna namna yoyote kwa vile vimita visoma matumiz vikakata umeme kwenye chumba husika baada ya unit zake Kuishafundi yoyote
Fanya huo ukaguzi
Hiv ndugu tanesco hakuna namna yoyote kwa vile vimita visoma matumiz vikakata umeme kwenye chumba husika baada ya unit zake Kuisha
54183670543 nimennua luku tayar but hamjanipa hizo 40 unit kama mlivosema em naomba msaada maana nshachoka hata kwenda huko tanesco kila siku.
hivi mbona hunijibu ni week sasa hizo unit mnarudisha hamrudishi?habari ndugu,
hapana ndugu mteja,
Kwahiyo umekaha mwaka bila umemeMita yangu iliungua na nikaenda kuripot wakaniambia watanibadilishia ila imepita mwaka na miezi miwili hadi leo kimya wao ni danadana tu
Ndugu ufumbuzi wa tatizo kipaji, tafuta mkandalasi mwenyevipimo apime mfumo wa wire zilizo tandazwa kwenye nyumba yako kama akiwa na kipimo saihi tatizo litaonekana tu epuka kuchukuwa mafundi wamitaani tafuta Fundi anaye tambulika na mwenye licence ya ewuraMmh haya. Ila nahisi kuna tatizo mahali