The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Habarini za humu ndani wadau, niko hapa kuomba experiences na ideas mbalimbali tokea kwenu za namna na jinsi ya kwenda Ireland kwaajili ya kujilipua au kwa maana nyingine kutafuta maisha, nchi hiyo au Europe kwa ujumla.
Naimani hapa nitapata (tutapata) maarifa na uzoefu wa watu mbalimbali waliowahi kuishi huko. Hata mki share contact za Agents (trusted) scams not allowed kwasababu hela hizi zipo na hazijai ukiwa unazitafuta.
Ukinisaidia mimi, pia utakuwa umewasaidia na watu mwengine ambao wamefaidika pia na connections yako au zako uliyonipatia au wapatia wana jamii forums wenzako ( life cycle)
Naomba tuwe open minded kama wenzetu ( Nigerias, Kenyans, Uganda,...., ......, .....,)
Kuhusu mimi now nipo South Africa na safari ya ulaya ilikwisha aanzia Tanzania na Passport bado mpya kabisa.
Asanteni.