Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Bado upo South?
Wewe tuuu .. njoo utakuja jifunza mengi na kuona mengi hakika hutojutia kufika huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tuuu .. njoo utakuja jifunza mengi na kuona mengi hakika hutojutia kufika huku
Nipo South BossBado upo South?
Nipo South Boss
Connection ndugu yangu kama unataka kuja huku na uko na rafiki au jamaa huku muombe hiyo connection... Mimi nitakupa mwanga wa viza jinsi gani ukija wewe uta survive hapa huku ukitafuta mchongo wa kazi lakini angalia usije kuwa na rafiki muuza madawa huku!Connection boss na mm nije huko
Tupe mwanga wa kusavive na kupats visaConnection ndugu yangu kama unataka kuja huku na uko na rafiki au jamaa huku muombe hiyo connection... Mimi nitakupa mwanga wa viza jinsi gani ukija wewe uta survive hapa huku ukitafuta mchongo wa kazi lakini angalia usije kuwa na rafiki muuza madawa huku!
Mahali popote wewe nenda na student visa mkuu, fanya process zote ukipata hiyo viza kwisha habari wewe ukifika huko ni kutafuta kazi, na viza yako hakikisha umelenga siii china ya miaka 3 yakusomaTupe mwanga wa kusavive na kupats visa
Unajua mashart ya student viza?? Kwanza elimu za wenzetu ni ghari sana Kwa international student elewa hilo.Mahali popote wewe nenda na student visa mkuu, fanya process zote ukipata hiyo viza kwisha habari wewe ukifika huko ni kutafuta kazi, na viza yako hakikisha umelenga siii china ya miaka 3 yakusoma
Hapo unakuwa katika uwanja mpana wa muda ya viza yako mpaka i expired itakuwa without 3 yrs kazi unayo
Broo usiwekee limitations ubongo wako kabla hujafanya jambo, assuming everything is possibleUnajua mashart ya student viza?? Kwanza elimu za wenzetu ni ghari sana Kwa international student elewa hilo.
Chuo cha kawaida inaenda mpaka dollar elfu saba Kwa mwaka bado sehemu ya kulala. Hupewi viza mpaka ulipie Ada ya mwaka mzima ukiwa bado hujatoka, unalipa gharama za accommodation zoteee ukiwa nchini kwako. Hapo kiufupi pesa ndogo uwe nayo ni million 30
Mandingo club huko Berlin?Hakuna haja ya kujirupua nchini Ireland hakuna mpango huko Ireland ni nchi masikini katika ulaya.Kama unataka kwenda ulaya nenda Ujerumani kisha huko nenda madisko utapata wanawake wa kuwaoa ili mradi uwe na nguvu za kiume za kuwatosheleza wazungu uwe na mshipa kweli hapo utampata mwanamke anaye tafuta mtu mweusi wa kulewa nawe ukisha mpata itakuwa rahisi kwako kupata vibali vya kusihi ujerumani. Au jiripue wewe kama ni msomali au mkongo lakini itabidi ujuwe japo kidogo lugha maojwapo kati ya hizo nchi 2 na Historia zao ndipo utakapoweza kufanikiwa.