Subirini Kun mpango nausuka hapa na Biden kuhusu refugee private Sponsorship ikitiki...wale wote walioenda USA kama wakimbizi wataruhusiwa kuwadhamini ndugu zao kuwapeleka USA kwa kuwadhamini kila kitu,hii itaanza na vikundi,Taasisi zisizo za kiserikali, baadae hadi kwa mtu mmoja mmoja kama una ndugu jamaa au rafiki ,basi ana weza kuvuta Maandishi matatu.
Kikubwa kinachosubiriwa ni Biden asaini hilo azimio....Mimi kuna ndugu yangu alinitumia hii taarifa yupo Ohio cleaveland....akasema tusubiri ikitiki basi tuandae mabegi yawe tayari kwenda kupiga boksi...maana kule kazi ni kibao.