The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
- Thread starter
- #41
Yeah bado nipoBado upo Cape town?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah bado nipoBado upo Cape town?
Very nice pambaniaYeah bado nipo
Wabongo wapo na wanaedelea kuja wao tuu na vibali vyao S.A hii hapo umefikaItafView attachment 2456486ika kipindi wabongo watapigwa ban kwenda S.A
All the best kwaoWabongo wapo na wanaedelea kuja wao tuu na vibali vyao S.A hii hapo umefika
Aisee , immigrants countrySasa hivi USA wanaweza kufuta ile sheria yao ya Section 42 ya kurudisha mtu yeyote alieingia USA kimagendo nimeona toka jana border ya El Paso iliyopo Texas wahamiaji wamelala kwenye majengo wakitegemea leo au kesho iwe imekwisha muda wake ingawaje pana muda Mahakama huwa inaingilia kati hiyo njia watu wengi walikua wanashuka Mexico City harafu wanatambaa mpaka kwenye huo mpaka kwa bus na kuingia USA...
Kabisa mkuu, tungekuwa kama Nigeria ungekuta tuko mbaliWabongo wa majuu always hawana upendo
Miongozo hakuna wabongo wana asili ya uchoyo au ubinafsiNatumae mleta mada ulipata miongozo...
Kabisa mr maana kutembea ni kuona mengi na kujua mengiNa Mimi nichukue peni na karatasi, nitoke huku kijijini.
Nani ni Mr?Kabisa mr maana kutembea ni kuona mengi na kujua mengi
Samahani Boss... Hapa naona ita make senseNani ni Mr?
We mzee ulishatoka south au mpqmbano bado n mkalSamahani Boss... Hapa naona ita make sense
Nipo hapa mkuu nchi yakibepari, mambo mazuri sichomoki tena southWe mzee ulishatoka south au mpqmbano bado n mkal
Danganya wasojua SouthNipo hapa mkuu nchi yakibepari, mambo mazuri sichomoki tena south
Soon cm ztaita nataka kudondoka pande izo kuna corse moja nakuja kuisoma apo ya machineNipo hapa mkuu nchi yakibepari, mambo mazuri sichomoki tena south
Wewe tuuu .. njoo utakuja jifunza mengi na kuona mengi hakika hutojutia kufika hukuSoon cm ztaita nataka kudondoka pande izo kuna corse moja nakuja kuisoma apo ya machine