The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
- Thread starter
-
- #21
Nipo Capetown huku.. ila kama hutojali hata hapa tunaweza share kwa faida ya wengine watakaopitia uzi huu. Wewe ulikuwa unataka kwenda nchi gani labdaMku ulifanikiwa kupata mrejesho.
Na mm ninahitaji kwani nipo Dar ila kuna njia rahisi nimepewa yaani Uganda kuna majenti wengi ambao kwa Europe na America wanakutafutia Visa na kukuandalia safari.
Safari nyingi ambazo unaenda tayari na Mkataba wa kazi ni Dubai yaani kazi za Ulinzi sema mishahara yenyewe ndo hiyo ya Million na nusu mpaka mbili.
Malazi na usafiri juu yao isipokuwa chakula ni jitegemee.
South uko mji gani
OllaChuga OcMku ulifanikiwa kupata mrejesho.
Na mm ninahitaji kwani nipo Dar ila kuna njia rahisi nimepewa yaani Uganda kuna majenti wengi ambao kwa Europe na America wanakutafutia Visa na kukuandalia safari.
Safari nyingi ambazo unaenda tayari na Mkataba wa kazi ni Dubai yaani kazi za Ulinzi sema mishahara yenyewe ndo hiyo ya Million na nusu mpaka mbili.
Malazi na usafiri juu yao isipokuwa chakula ni jitegemee.
South uko mji gani
Tafuta PESA .popote pale utaenda mkuuMaujanja utayapata humuhumu kama watu hawatokua wachoyo. Ila kama uko serious aribu kuwa na vitu basic kwanza ndio usome direction wapi unataka kwenda
Namibia tu hapo jirani na South Kuna restaurant za kutosha wanatafuta ma shef cooker. Uku unaotea mzungu ukiwa mjanja na mpishi mzuri. Tatizo watu wanaleta dharau Sana.😂😂😂Maujanja utayapata humuhumu kama watu hawatokua wachoyo. Ila kama uko serious aribu kuwa na vitu basic kwanza ndio usome direction wapi unataka kwenda
Asee nami ninahangaika kuingia US, Canada, Norway na Finland. Nimecheza Sana Dv lottery, Na Express entry ya Canada Ila bado.huu ni mwaka wa tatu sijatimiza ndoto zangu. Ingawa elimu yangu iko chini Sana.Nina diploma ya famasia. Kama kuna connection yeyote ile niunge asee. Nitakushukuru Sana.
Una PASSPORT?Asee nami ninahangaika kuingia US, Canada, Norway na Finland. Nimecheza Sana Dv lottery, Na Express entry ya Canada Ila bado.huu ni mwaka wa tatu sijatimiza ndoto zangu. Ingawa elimu yangu iko chini Sana.Nina diploma ya famasia. Kama kuna connection yeyote ile niunge asee. Nitakushukuru Sana.
Wewe unasuka mpangoa na Biden.?Subirini Kun mpango nausuka hapa na Biden kuhusu refugee private Sponsorship ikitiki...wale wote walioenda USA kama wakimbizi wataruhusiwa kuwadhamini ndugu zao kuwapeleka USA kwa kuwadhamini kila kitu,hii itaanza na vikundi,Taasisi zisizo za kiserikali, baadae hadi kwa mtu mmoja mmoja kama una ndugu jamaa au rafiki ,basi ana weza kuvuta Maandishi matatu.
Kikubwa kinachosubiriwa ni Biden asaini hilo azimio....Mimi kuna ndugu yangu alinitumia hii taarifa yupo Ohio cleaveland....akasema tusubiri ikitiki basi tuandae mabegi yawe tayari kwenda kupiga boksi...maana kule kazi ni kibao.
Bado upo Cape town?Maujanja utayapata humuhumu kama watu hawatokua wachoyo. Ila kama uko serious aribu kuwa na vitu basic kwanza ndio usome direction wapi unataka kwenda
Hahaha!Wewe unasuka mpangoa na Biden.?
Ok nimekupata mkuu. Lakini pia anagalia na njia nyingine za kwenda hukoHahaha!
Nimeweka na utani kidogo.
Ila kuna ndugu yangu yupo US aliniambia kuna shauri linasubiriwa asaini Biden kwa ajili ya wakimbizi walioingia US kuwa sponsor ndugu zao KWA kila kitu kuwapeleka US kama walivyopelekwa Wao.
Hivi kama una rafiki wakike anaishi Uingereza je ana weza kukufanyia mpako ukaenda Uingereza?Subirini Kun mpango nausuka hapa na Biden kuhusu refugee private Sponsorship ikitiki...wale wote walioenda USA kama wakimbizi wataruhusiwa kuwadhamini ndugu zao kuwapeleka USA kwa kuwadhamini kila kitu,hii itaanza na vikundi,Taasisi zisizo za kiserikali, baadae hadi kwa mtu mmoja mmoja kama una ndugu jamaa au rafiki ,basi ana weza kuvuta Maandishi matatu.
Kikubwa kinachosubiriwa ni Biden asaini hilo azimio....Mimi kuna ndugu yangu alinitumia hii taarifa yupo Ohio cleaveland....akasema tusubiri ikitiki basi tuandae mabegi yawe tayari kwenda kupiga boksi...maana kule kazi ni kibao.
Yeah...! Makaratasi tu...Hivi kama una rafiki wakike anaishi Uingereza je ana weza kukufanyia mpako ukaenda Uingereza?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app