Msaada: Jinsi ya kwenda (kujilipua) Ireland au European countries kwa ujumla

Tupe mwanga wa kusavive na kupats visa
Mahali popote wewe nenda na student visa mkuu, fanya process zote ukipata hiyo viza kwisha habari wewe ukifika huko ni kutafuta kazi, na viza yako hakikisha umelenga siii china ya miaka 3 yakusoma

Hapo unakuwa katika uwanja mpana wa muda ya viza yako mpaka i expired itakuwa within 3 yrs kazi unayo
 
Unajua mashart ya student viza?? Kwanza elimu za wenzetu ni ghari sana Kwa international student elewa hilo.

Chuo cha kawaida inaenda mpaka dollar elfu saba Kwa mwaka bado sehemu ya kulala. Hupewi viza mpaka ulipie Ada ya mwaka mzima ukiwa bado hujatoka, unalipa gharama za accommodation zoteee ukiwa nchini kwako. Hapo kiufupi pesa ndogo uwe nayo ni million 30
 
Broo usiwekee limitations ubongo wako kabla hujafanya jambo, assuming everything is possible

Dunia iko kukupa unachotaka, swali ni je unaiombaje dunia ukupatie hicho unachotaka..

Ukiona plan A ya chuo A imekata move on to the next plan, lazima uta arrive pale ulipokuwa unataka, ila bila kusahau kila muda unaopoteza katika jambo ni investment unafanya, the more u investing, the more the future return.
 
Utafanikiwa kamanda,tafuta Agents tu atakupa ramani
 
Mandingo club huko Berlin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…