Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Hata kwetu wapo mkuu ukijifanya mjeuli wanakupiga kipapai kuna story kadhaa za watu kuuwana kisa mipaka ya viwanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kusikia story mpaka unajiuliza huyu anayesemwa ni mimi au ni mwingine?😂🤸 Leo nimecheka sanaa
Ungejua usingecheka😂Ipi sweetheart?
Ya mleta mada au ya hawa wanaochombeza na stori ya kuchinja kuku?
Au wewe ndio aina ya jirani mtata 😁?
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukorofi siuwezi mkuu
Huko ni chanika au? Maana kule kuna huu upuuzi sanashida wanataka nivunje ukuta ili barabara iwe pana wakti yeye hajatoa sehemu yoyote
Wakati unatoa hiyo barabara nani alikuona?? Inawezekanaje jamii nzima isikuelewe ww imsikilize yeye?? Acha janjajanjaKama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
MakasirikoWe una yako umekosa pa kuyatapikia tu
Ishi na majirani zako vizuri. Acheni ugomvi, Duniani tunapita tu, kila kitu tutakiacha.Kama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
Ungejua usingecheka😂
Subiri kikinuka utasikia harufu😂Nipe clue basi kidogo ephen
Kipind unatafuta kiwanja hapo kabla ya kununua lazima ujuane na majirani kwanza.Unadhani ni jambo rahisi sana hvyo ee
kupata tu sahini ili wakala waARDHI akupimie nakukuwekea JIWE ni mbinde
Watanzania haswa watu wa bara ni watu wa hovyo sana
🤣🤣🤣🤣🤣acha tu niwe swala😂🤣
Basi wacha uteseke, umeamua kuwa swala lazima uishi kwa tabu na hofu ya kukamatwa kila saa.
Huyo hakuwa mkorofi alikujaribu tu lasivyo angekupandisha kizimbani kwa kuvunja ukuta wakeInakuaje watu mnakuwa wapole wapole hivi!! Kuna mambo hayahitaji diplomasia nguvu lazima itumike, kuna jirani yangu alimega hatua 5 za kiwanja changu akajenga ukuta,mimi nilichofanya nikavuja ukuta nikaweka waya mchezo ukaisha
Ukuta ukiwa ndani ya eneo lako sio wake tena.Huyo hakuwa mkorofi alikujaribu tu lasivyo angekupandisha kizimbani kwa kuvunja ukuta wake