Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usicheke na waswahili watakupanda kichwani.Kama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
Wewe huwajui waswahili, hawa ni wa kuwavalia sura ya kazi, jirani mwema atajionesha kwa matendo yake na jirani mshenzi muoneshe wewe ni mshenzi kuliko yeye.Pole jaribu pitia upya karatasi yako ya kuuziwa hilo eneo urefu na upana wake, Kama uko sahihi ni haki yako songa mbele kudai haki yako ila mwisho wa siku usiache nia yako njema ya kuacha barabara kwa majirani zako
Nakwambia hamna lolote, dar hakuna mganga wote ni wachumia tumbo.🤣🤣🤣🤣🤣 weeee wapo unanijaza upepo wew nijichanganye kwenye kumi na nane za jirani akishindwa huku ataenda kule
Hati au Ile karatasi ya mauziano si inaonesha ukubwa wa kiwanja chako? tumia hiyo kutatua huo mgogoro kwa kuonesha karatasi moja wapo. ikishindikana wapeleke kwenye mabaraza ya aridhiKama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
Kama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
SawaHuo ni unyonge usiokuwa na tija.
Kumbuka; haki yako ni Mali yako halali.
S
sijapima mkuu
Sasa mbona viazi peke yake🤭Ngoja nipige msosi kwanza
View attachment 3023368
Ukifunga barabara ambayo imeishapitika zaidi ya miaka mitatu litakuwa kosa na itakula kwako.Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
mie nafkir ungekuja na picha ya ukuta ulivyo njia na panapowagombanisha na iman ungepata msada zaid wa mawazo kwa wadau hapa ila kwa maelezo tu aijtoshelez mfno ujataja sehem usika pia pengne ote mnavunja shelia sehem aistahil ujenz ila pole kwa changamotoKama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
Kaka 😂😂😂😂Chukua kuku usimchinje mnyonyoe manyoya yote, mvalishe shanga kisha mtupie kwake.
Baada ya siku 3 chukua paka mnyoe panki, mvalishe kitu kama hirizi mtupie kwake
Siku ya 5 chukua chura mvalishe maguo, mshonee ndani awe kama hirizi kisha tupia kwake,
Siku ya saba nunua drone, iveshe nguo nyeupe irushe juu iwe kama jini linapepea.
Utakuja kunishukuru 😂
No sawa apime eneo tu Kisha kama ni lake kweli adai haki yake, hata hiyo njia anaweza toa kwa wapitaji na yeye kulipia sehemu ya ardhi iliyotolewa, suala ya njia ya kupita ni haki ya msingi katika Sheria ya Ardhi ila haipatikani bure awauzie tu, kiungwanaWewe huwajui waswahili, hawa ni wa kuwavalia sura ya kazi, jirani mwema atajionesha kwa matendo yake na jirani mshenzi muoneshe wewe ni mshenzi kuliko yeye.
Fuga nyoka wengiii,na kila siku hakikisha anakutana na nyoka mlangoni kwake,huyo lazima atakupisha na utaishi kwa raha bila jirani mkorofi🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️Kama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
Kwani eneo lako halina mpaka? Na kama lipo hadi serikali z mitaa c wanajua mipaka yako kama kweli upo sahihi iweje wote waseme umekosea wew kama una hati ya kiwanja c inaonyesha mipaka?Kama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
Mtu anayekuwahi kwa mbele kwenye sheria hii huwa balaa sana, na mwisho wake huwa mgumu sana.Ukiona kwenye sheria anakuwahi kwa mbele basi uchague moja ya kua mpole au ufunge safari ya kusini au magharibi mwisho wa reli