Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

Anganjwiri92

Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
30
Reaction score
44
Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo

1. Maswali kutokana na hii kazi
2. Kiwango cha mshahara
3. Nizingatie nini kufaulu usaili huu

Ahsante naomba kuwasilisha
 
Wameita lini na wametumia njia gani simu au wamebandika majina?, mie niliomba msaidizi wa ofisi. Kimya mpaka sasa au ndio washakula kichwa
 
Oya,unajua unakera na hili tangazo lako kila uzi unaliweka?
 
Ukiachana na maswali utakayoulizwa,tenga pembeni hela ya soda utajanishukuru uko baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…