Anganjwiri92
Member
- Sep 27, 2020
- 30
- 44
Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo
1. Maswali kutokana na hii kazi
2. Kiwango cha mshahara
3. Nizingatie nini kufaulu usaili huu
Ahsante naomba kuwasilisha
1. Maswali kutokana na hii kazi
2. Kiwango cha mshahara
3. Nizingatie nini kufaulu usaili huu
Ahsante naomba kuwasilisha