Sethshalom
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 586
- 1,013
Kiutaratibu bank wapo kutengeneza hela,kama umepata matatizo ambayo atasababisha kucheleweshwa kulipa mkopo wao.Unamwandikia manager barua matatizo yako na jinsi ulivyojiandaa kuwalipa.Wao wanachofanya wanaweza wakakubali ule muda uliowaomba au mka-negotiate ,halafu wakakuongezea muda na cost ya huo muda.So itabidi ulipe zaidi maana wako after money.Hongera sana kuvuka salamaMkopo nililipa wote japo nilipitiliza mudawa miezi 6 TPB ni waungwana.