Msaada juu ya tatizo hili la mkopo wa bank

Msaada juu ya tatizo hili la mkopo wa bank

Mkopo nililipa wote japo nilipitiliza mudawa miezi 6 TPB ni waungwana.
Kiutaratibu bank wapo kutengeneza hela,kama umepata matatizo ambayo atasababisha kucheleweshwa kulipa mkopo wao.Unamwandikia manager barua matatizo yako na jinsi ulivyojiandaa kuwalipa.Wao wanachofanya wanaweza wakakubali ule muda uliowaomba au mka-negotiate ,halafu wakakuongezea muda na cost ya huo muda.So itabidi ulipe zaidi maana wako after money.Hongera sana kuvuka salama
 
Mkuu

Pole na hongera kwa kumaliza hilo deni.
 
Hivi kukopa ili kununua kiwanja pamoja kuanza ujenzi, sawa kweli. Tupeane ushauri maana hii kazi yangu changamoto sana
 
inaweza kuwa ni jambo jema... japokuwa watu wengi wanashauri ufanye biashara kwanza faida ndio ijenge nyumba.. ila biashara nazo zinataka usimamizi ambao mfanyakazi ni ngumu kuwa na muda.... na zina hasara pia

Yaani kaka nina changamoto sana hasa nikiona haka ka mshaara ka mwlm mwenye shahada maana yake mwisho wa mkopo anaoweza kuupata ni mil. 10 tu.
 
Back
Top Bottom