Mkuu shida yako wewe ni pupa, mzee akisimama unarukia kama kuku wakati mwenzako bado hajawa tayari. Mambo hayo hayataki haraka.
Kwanza je unamfahamu mkeo vizuri, anatomy yake. Yaani weak point zake ziko wapi, kumfahamu ni muhimu katika kumuandaa. Utajua ni sehemu gani anapenda apapaswe na sehemu gani anapenda kunyonywa.
Mazingira mnayofanyia je ni tulivu, maana kama si tulivu kila wakati anakuwa na wasiwasi labda mtu anamchungulia au anaweza kuingia basi Inakuwa ni tatizo.
Uwe unampa maneno matamu kama unamtongoza, hata kama ni mkeo mtongoze kwa kumsifia jinsi alivyo umbika, wanawake wanapenda sana kusifiwa, onyesha kuwa bado unampenda kuliko mwanamke yeyote.
Vilevile unabidi uwe mvumilivu, ukiona oil bado usirukie kisa wewe imesimamisha.