Msaada juu ya uke wa mke wangu

Msaada juu ya uke wa mke wangu

Mkuu shida yako wewe ni pupa, mzee akisimama unarukia kama kuku wakati mwenzako bado hajawa tayari. Mambo hayo hayataki haraka.
Kwanza je unamfahamu mkeo vizuri, anatomy yake. Yaani weak point zake ziko wapi, kumfahamu ni muhimu katika kumuandaa. Utajua ni sehemu gani anapenda apapaswe na sehemu gani anapenda kunyonywa.
Mazingira mnayofanyia je ni tulivu, maana kama si tulivu kila wakati anakuwa na wasiwasi labda mtu anamchungulia au anaweza kuingia basi Inakuwa ni tatizo.
Uwe unampa maneno matamu kama unamtongoza, hata kama ni mkeo mtongoze kwa kumsifia jinsi alivyo umbika, wanawake wanapenda sana kusifiwa, onyesha kuwa bado unampenda kuliko mwanamke yeyote.
Vilevile unabidi uwe mvumilivu, ukiona oil bado usirukie kisa wewe imesimamisha.
 
Imeanza lini hiyo hali? Toka mkiwa uchumbani ama after ndoa? Yawezekana dushelele lako kubwa mkuu alafu hujui jinsi ya kuichezesha mweeh! Cjui nimetukana?!

Hujanitukana mkuu, make hayo ni mawazo yako.
 
Unaweza ukawa unamuandaa kwa muda mref lakn hujafka sehem yenyew ambayo inampatia feeling!!!
 
KY jelly ni nzuri kwani ina saidia kuzuia maumivu(ina ganzi)
 
Tumia hizi...nenda Nakiete....ni sh. 13elfu
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1377197030381.jpg
    uploadfromtaptalk1377197030381.jpg
    32.8 KB · Views: 180
  • uploadfromtaptalk1377197170379.jpg
    uploadfromtaptalk1377197170379.jpg
    13.6 KB · Views: 149
Usitumie KY...sio nzuri. Koz ni kwaajili ya kuzalishia..kuongezea uke njia. Hivyo ni mbaya sana na hutakiw kabisa kutumia.

Tumia hizo Pussy Whip na hiyo Dulexx...Nakiete zinapatikana kwa sh. 13elfu tu
 
bishankara bwana kashauliwa kutumia olive oil anauliza why mot ky, kumbe alikuja kutusanifu anamajibu yake anayo yataka, haya kaendelee na kamchezo kakbana.o
 
bishankara bwana kashauliwa kutumia olive oil anauliza why mot ky, kumbe alikuja kutusanifu anamajibu yake anayo yataka, haya kaendelee na kamchezo kakbana.o

Sina majibu mkuu. nauliza kujua comperative advantages for making the best choice.
 
Tumia lubricant inauzwa nakiete inaitwa durex ziko za flovour tofauti itakusaidia otherwise
all the best
 
Inawezekana kabisa mkeo hana hisia na wewe hakufeel kabisa

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
tatizo si ni mkeo yeye anakua ni mfupi na ni wanawake ambo wapo kwenye aina ya hastini yaani kina chao ni kidogo hilo nikosa la kitaa lamu ilibidi upata mwanamke aina ya elephanti hawa wana yoni kubwa bivyo inabidi uendenae taratibu hati aye azoee
 
Back
Top Bottom