Msaada juu ya uke wa mke wangu


madaktari bingwa WA magonjwa ya wanawake watakusaidia zaidi, mambo ya jelly yatakunyima uhuru WA kutafuna Mali zako kwa raha. Ushawaona?
 
Mkuu.@bishankara Mpakaze Mke wako sehemu za siri hayo mafuta ya Zaituni (Olive Oil) sio ky jelly . Kama alivyosema mkuu.@Howt Lady hayo mafuta yatasaidia uke wa mke wako kuwa laini na utafurahia tendo la ndoa. Tumia kisha uje hapa utupe feedback thanks.
 
Jaribu hii KY aina ya Silk E hii itawasaidia sana.
 
Asante sana wadau kwa ushauri wenu na maoni yenu kwa ujumla.
 
Usitumie KY...sio nzuri. Koz ni kwaajili ya kuzalishia..kuongezea uke njia. Hivyo ni mbaya sana na hutakiw kabisa kutumia.

Tumia hizo Pussy Whip na hiyo Dulexx...Nakiete zinapatikana kwa sh. 13elfu tu

KY inatumika kuzalishia?! kuongezea uke njia?! Umeitoa wapi hii?!

Kuna wakati kama hujui kitu bora kunyamaza tu!

Inunue kisha soma uses zake!
 
Mkuu unaweza ukawa unamuanda phsyically, kisaikolojia je? Maana kama saikoloji yake inakua haipo hapo kwenye tendo (perhaps pengine alipata Post traumatic disorder) utakua unamuumiza tu bila kufaidi tendo. Anways nakushauri muende kwa Gynaecology aweze kuwapa ushauri wa ki taalam zaidi.
 
Ni aje Mamndenyi!? It is slippery when wet 🙂🙂..... Silk E is the best KY product out there but it is rarely available in our beloved country....swali lingine!?


BAC mmmmh!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…