Kila nikikutana kimwili na mke wangu analalamika sana maumivu. Huwa nachukua muda mrefu wa kumuandaa lakn huwa haisaidii. Naomba msaada juu ya kilainishi gani kinachoweza kuongeza utelezi na ulainishi wa uke ili na sisi tulifaidi penzi letu? Naomba msaada wenu.
madaktari bingwa WA magonjwa ya wanawake watakusaidia zaidi, mambo ya jelly yatakunyima uhuru WA kutafuna Mali zako kwa raha. Ushawaona?