Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani pesa hizi
Simu huwa zinanunuliwa madukani, iweje yeye anunue kwa mtu mitaani? Pili miaka 30 kwa simu tu haiingii akilini, lazima kuna makosa mengine kama ya ujambazi au wizi huyo kaka yako kayafanya. Refer kifungo cha Sabaya kwa miaka kama hiyo.
mbona maelezo yake yamejitosheleza kabisa.Simu huwa zinanunuliwa madukani, iweje yeye anunue kwa mtu mitaani? Pili miaka 30 kwa simu tu haiingii akilini, lazima kuna makosa mengine kama ya ujambazi au wizi huyo kaka yako kayafanya. Refer kifungo cha Sabaya kwa miaka kama hiyo.
Aliemuuzia ni mtu aliekua anapenda kutembelea mazingira ya pale alipokua akifanyia umachinga hakujua kama ni ya wizi, pia aliemuuzia simu hakuonekana tena mpaka leoPole sana ndugu
Ila nina swali kwamba aliemuuzia simu na yupo ndani au ndo huyo katoka??
Na je kaka yako aliuziwa simu akijua ni simu ya wizi??
Kiimsingi katika sheria, baada ya maamuzi kutolewa juu ya kesi yoyote nafasi inayobaki ikiwa kunaupande haujaridhika na maamuzi nikukata rufaa.Kwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa
Kosa ile simu aliyonunua ilipolwa kwa nguvu kutumia siraha na kupora vitu baadhi ikiwemo pkpk, na katka sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye
Wakapelekwa polisi kwa upelelezi badae kesi ikaenda mahakamani wamekaa miezi tisa mmoja wao alitoka wiki mbili zilizopita wakabaki wawili,
Leo ilikua siku ya hukumu naimetokea kama nilivyoeleza hapo juu,
Nmeongea na kaka amelia sana anasema wamefungwa kwa kukosa hela ambapo mwenzao kesi ya pamoja ametoka kwa kutumia pesa
Kwaupande wetu pesa hatuna familia ya kimasikini naomba msaada kama kunautaratibu upi tuutumie kama familia, imeniuma sana kuona kaka anafungwa miaka yoote hiyo.
yuda exalioth
Jamiiforms
geita
Asante mkuuRahisi ni ghali. Ndicho kilichomtokea kaka yako.
Huko huko GEREZANI kuna askari magereza ambao shughuli zao ni kusaidia wafungwa kukata rufaa. Hivyo na wewe mshauri aongee na askari hao wa kitengo cha sheria akate rufaa mahakama kuu.
Je sheria inasemaje kama hiyo simu ilipolwa kwa kutumia siraha na ukutwe nayo?Simu huwa zinanunuliwa madukani, iweje yeye anunue kwa mtu mitaani? Pili miaka 30 kwa simu tu haiingii akilini, lazima kuna makosa mengine kama ya ujambazi au wizi huyo kaka yako kayafanya. Refer kifungo cha Sabaya kwa miaka kama hiyo.
Unasema kweli rakini mkuu niamini mimi kwamba kaka sio mwizi na sio jambaziHizo ni story za upande mmoja unataka kutochota tukuonee huruma.
Ukute yeye ndiye jambaz wanaotembea na boda boda na panga usiku wakikukuta wanakuibia kibabe.
Binafsi sina huruma na mwizi wala mnunuaji wa Mali ya wizi
Inamaana walikiri kosa sioMaelezo ndio humfunga mtu...
Ukisha kiri hata useme ulifanywaje hapo lazima tu ile kwako
Sent using Jamii Forums mobile app