figganigga kuya huku uje usome Mstari wa Mwisho
Mwenzenu nyumbani hapaliki wala hapalaliki, nimepotelewa na Kikuku changu siku ya White Party.
Kama kuna mtu alinionea basi anairejeshee tafadhali.
Hivi siku zile nilikuwa nimekaa na nani vile??????????????? LOL
Unanionea bure, mi kwenye party yenu wala sikuja. Na umri huu mambo ya party wapi na wapi?Wako wapi wadau kina Madame B, cacico, amu, Paloma, kipaji halisi, Vin Diesel, Bujibuji, Asprin, figganigga, manoah, lara 1, marejesho, mwaJ, nivea, Lisa, Mtambuzi, Thanda, Jiwe Linaloishi, Ruttashobolwa
Hebu njooni ubazi huu basi, mwenzenu nimepotelewa na Kikuku changu
Wako wapi wadau kina Madame B, cacico, amu, Paloma, kipaji halisi, Vin Diesel, Bujibuji, Asprin, figganigga, manoah, lara 1, marejesho, mwaJ, nivea, Lisa, Mtambuzi, Thanda, Jiwe Linaloishi, Ruttashobolwa

hivi siku ile uliondoka na nani?
Daaaah hapa sasa ndipo mtuhumu anapokamatwa!
Jeska hawezi sahau alieondoka nae....umesahau tena
Nilijidai naenda towilet ku bip maliwato, nikamuona figganigga ananizengea, nilimpa za uso nikasepa zangu wala hakuona mlango niliotokea alikuwa hajui kuwa mie natokea Katorohivi siku ile uliondoka na nani?
cha mguuni au cha kiunoni?