Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Nina uhakika kabisa maandishi umeshindwa kuyaelewa, sasa picha(avatar ya lara 1) pia umeshindwa ona???
wat8 utakuwa shahidi namba 50.
Je unakifahamu kikuku cha jeska
unakitambuaje kuwa ndicho chenyewe?
Uhusiano wako na lara1 ukoje?
Je kwa nini au ni kitu gani kikupacho ujasiri wa kusema lara1 ndiye anacho?