Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Jeska kikuku chako anacho lara 1....we hebu tu angalia avatar yake kwa makini!!!

wat8 utakuwa shahidi namba 50.
Je unakifahamu kikuku cha jeska
unakitambuaje kuwa ndicho chenyewe?
Uhusiano wako na lara1 ukoje?
Je kwa nini au ni kitu gani kikupacho ujasiri wa kusema lara1 ndiye anacho?
 
ila kwa taarifa zilizofikia voice of wisdom table kutoka kwa yule jamaa wa chini y mlima ni kuwa amefanikiwa kukunyamazisha! lol dunia sina siri!:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa: ukiangalia kwa makini behind the sofa utaniona, tunakuchabo polepole huyo Ntei asije aka:shut-mouth:
pia inteligensia ytu imegunda hili
By passion lady huyo huyo Rutta kama ulikuepo,na akaniambia nikisema atanibonda ndio nishasema sasa!
na tunalifuatilia kwa nini um:shut-mouth:

i submit my case

hahahahahaha. Case closed
 
hahahaha we ndio unacho si nilikuona wakati unaenda maliwatoooo

unawezaje kutambua kikuku cha jeska mtuhumiwa namba 78,
je ulimwona mshukiwa akichukua kikuku cha mlalamikaji? We ulikuwa wapi wakati huo na ulichukua hatua gani?
na je wakati unayemshuku ndiye anacho akienda maliwatoni ulikuwa umeshaharibu uwezo wako wa kujitambua kwa asilimia ngapi?
 
MGUU.JPG

Mwenzenu nyumbani hapaliki wala hapalaliki, nimepotelewa na Kikuku changu siku ya White Party.

Kama kuna mtu alinionea basi anairejeshee tafadhali.

Hivi siku zile nilikuwa nimekaa na nani vile??????????????? LOL

likipitishw gwaride la utambuzi unaweza kutambua kikuku chako?
je mlalamikaji unakumbuka mara ya mwisho ulipokuwa na kikuku chako?
Kabla ya kujua huna kikuku ki1 ulikuwa na nani?
Je kuna mtu yeyote aliyesifia kikuku chako na kukidadisi kwa kina?
Je nani aliyeonyesha kukimezea mate kuliko wengine?
Siku ya tukio hadi unatambu kikuku kimetoweka ulikuwa katika hali gani(akili ilikuwa active kwa % ngapi?)
kumbuka upelelezi wa jalada lako tumekwisha ukamilisha hvyo ukipotoka tu kidogo, inakula kwako.
 
kama hufahamu kuwa vikuku vyote vilikuwepo wakati mpo wote unawezaje kuithibitishia hii mahakama kuwa ulipoondoka vyote vilikuwepo. Je huoni kama unajichanganya katika utetezi wako na mahakama inanusa harufu ya uongo kwenye maelezo yako.

Mh naomba nirudi kwenye ile hali niliyokuwa nayo pale ukumbuni ili niweze kuendele kujibu
wapi contesa...
 
money closed it.

hahaha, money has power, bt its power will never exceeds wisdom.
Nothing has been closed and for your information we have done on investigating you and your case will be called soon.
"Wherever money offset wisdom there is destruction" VOW jan 31, 2013
 
hahahaha. Maneno tu hayo. Hata kwenye magazet yapo. Pesa ndo kila kitu. Yuko wapi rutta?
 
Last edited by a moderator:
hahahaha. Maneno tu hayo. Hata kwenye magazet yapo. Pesa ndo kila kitu. Yuko wapi rutta?

yuko chini ya uangalizi wa inteligensia na usalama wa chit chat, we have all supporting doc to our nearly judgement. Na nina usongo wa kusoma hukumu, cku nyingi sijamsomea mtu hukumu. Na hii Mtei lazima nikulambishe karata dume, hata kama wote tunatokea chini ya mlima, yaani huwezi nihonga hadharani hvyo, alafu pesa yenyewe haitosh hata kitochi kimoja.
 
Last edited by a moderator:
utakuwa shahidi namba 15, maelezo yako yameshachukuliwa na utahtaji kuyandika kwa kina na kuyafikisha mahakama kuu ya chitchat yaan chitchat high court kwa kifupi cchc, hakikisha unamkabidhi chief judge wa cchc mh. Rutta

kumbe nazikabidhi kwa my husbnd to be wala usihofu maana yy mwenyewe nimeshamwambia ishu nzima jinsi muokotaji alivyookota kikuku kwa tecnic ya kidigital ili asishtukiwe,mm peke yangu niliona,mm tu niweze kumtaja!
 
Rutta please make a declaration to this majesty court that there is no any interest btn you and passionlady. Failure to disclose, the law will lies where it falls!
 
kwani babu asprini amekufwa, wewe ni mshukiwa huruhusiwi kufanya hayo majukubu, je ukim..,.. Narudi ngoja niongeze maji kwa maharagwe yasiungue, si unajua am bachelor bt unavailable

Babu ashazeeka na mwaka huu kuna kampeni ya kuwarudisha wazee wote kijijini, mjini kushawashinda.

acha uzinzi owa kabisa...... au we bado pre-bachelor??
 
Babu ashazeeka na mwaka huu kuna kampeni ya kuwarudisha wazee wote kijijini, mjini kushawashinda.

acha uzinzi owa kabisa...... au we bado pre-bachelor??

mi single bachelor but unavailable(bbu).
We warudishe waze kijijini uone, kwa maana aonacho mze akiwa ameketi, kijana hata akikwea mtini haoni
 
Ngoja ni review cctv then nitakutajia mwenye kikuku chako
 
Back
Top Bottom