Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

Hahahahahahahahahah
asante Voice of Wisdom kwa kufatilia nyendo zangu kwani huwa sichanganyi maji na mafuta!

halafu chief judge wa chitchat high court, rutta nyendo zako na yule jamaa wa chini ya mlina Mtei,zimerekodiwa, majaji washauri wenye hekima wanakufuatilia
 
Last edited by a moderator:
Ni ngumu cjui watz na hizi njaa na hali ya sasa cjui labda msamaria mwema my friend mzee anawaza nini mwambie atulie
 
ila kwa taarifa zilizofikia voice of wisdom table kutoka kwa yule jamaa wa chini y mlima ni kuwa amefanikiwa kukunyamazisha! lol dunia sina siri!:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa: ukiangalia kwa makini behind the sofa utaniona, tunakuchabo polepole huyo Ntei asije aka:shut-mouth:
pia inteligensia ytu imegunda hili
By passion lady huyo huyo Rutta kama ulikuepo,na akaniambia nikisema atanibonda ndio nishasema sasa!
na tunalifuatilia kwa nini um:shut-mouth:

i submit my case
 
heheheheeeee........am jeeez watching you:eek2:

will be back when you are all done........ najua kikuku na kibata chake vipo kwa nani......tihititihiiii!!!

hahahaha we ndio unacho si nilikuona wakati unaenda maliwatoooo
 
huyo Jiwe Linaloishi alikuwa anacheza na chupa ya Kotensa mkononi na akili wala haikuwapo eneo la tukio LOL

Watu ninaowakumbuka kuwa jirani na mimi ni Vin Diesel, kipaji halisi, Thanda, yule mpogoro wa Mazimbu anayejiita Mzulu, figganigga, halafu kuna mkaka alikuja na mgeni rasmi simjui avatar yake

aaahh Jeska mi nicheze na chupa warembo wote wale kwani ulisikia mi ni mtawa?? ntake radhi toka mwanzo nilikuwa jirani yako nilipoanza kuweweseka ndio nikasogea pembeni kdg
 
aaahh Jeska mi nicheze na chupa warembo wote wale kwani ulisikia mi ni mtawa?? ntake radhi toka mwanzo nilikuwa jirani yako nilipoanza kuweweseka ndio nikasogea pembeni kdg

je muda wote uliokua naye uligundua ana vikuku miguu yote?

Na je wakati unaondoka bado vyote vilikuwepo?
Na je baada ya wewe kukaa pembeni nani alikuwa naye?
Na je kwa nini uliamua kuondoka na kuwa mbali naye dakika za mwisho wakati mlikuwa wote kuanzia muda wa tukio?
Na je tukisema uliondoka baada ya kufanikiwa kumchukulia kikuku chake tutakuwa tunasema urongo?
 
sifahamu kama vikuku vyote vilikuwepo maana sikumchunguza sana
1. bado vikuku na vibata vilikuwepo
2. walikuwepo wadau wengine wengi sikumbuki sababu nilikuwa sinywi chai
3. nilipoanza kusisimka nikaona mwana wa adam ataingia majaribuni nikaamua kikombe kile kiniepuke
4. na kama ni kuondoka ningeondoka nae yeye, siyo kikuku wala kibata
 
mi nilimuona aliekiokota akaniambia nisimtaje ila jina lake linaanza na herufi E!nimesema uje unisute uone

utakuwa shahidi namba 15, maelezo yako yameshachukuliwa na utahtaji kuyandika kwa kina na kuyafikisha mahakama kuu ya chitchat yaan chitchat high court kwa kifupi cchc, hakikisha unamkabidhi chief judge wa cchc mh. Rutta
 
sifahamu kama vikuku vyote vilikuwepo maana sikumchunguza sana
1. bado vikuku na vibata vilikuwepo
2. walikuwepo wadau wengine wengi sikumbuki sababu nilikuwa sinywi chai
3. nilipoanza kusisimka nikaona mwana wa adam ataingia majaribuni nikaamua kikombe kile kiniepuke
4. na kama ni kuondoka ningeondoka nae yeye, siyo kikuku wala kibata

kama hufahamu kuwa vikuku vyote vilikuwepo wakati mpo wote unawezaje kuithibitishia hii mahakama kuwa ulipoondoka vyote vilikuwepo. Je huoni kama unajichanganya katika utetezi wako na mahakama inanusa harufu ya uongo kwenye maelezo yako.
 
Back
Top Bottom